NAPENDA KUISHI MBEYA.

KARIBU SANA!!!KAZI YA RAHISI KUPATA NI KUWA MPIGA DEBE HAPA SOWETO!KARIBU SANA!!!
 
Mambo yamebadirika lini ??, Mbona juzijuzi tu mambo yalikuwa fresh.
 
Mimi napenda Kazi ngumu, zinazochukiwa na Wengi.
Mbona na hiyo ni ngumu!Ningekushauri kama baba ana shamba hapo nyumbani kwa nini usiliendeleze?Tena maadamu wewe unapenda kazi ngumu ninakupongeza sana!Unajua mafanikio huja kwa kutumia ifaavyo vitu hivi:NGUVU(KAMA HIZO ULIZONAZO) +MUDA+FEDHA=MAFANIKIO
 
Napenda kutumia nguvu Zangu kwa shughuli ngumu nikiwa Mbeya, kwasababu huko kuna tija, Nikitumia nguvu kulima mazao,najua nikiwa Mbeya Soko la mazao halitanisumbua.
 
DAR ES SALAAM JOTO SANA, TUKILALA NI SHIDA..
 
Huwa nasikia kutoka kwa watu wengi kuwa maisha ya MBEYA yana unafuu kulinganisha na mikoa mingine,

Mfano.
Chakula
Makazi ya kuishi
Biashara
Nguo
Na malezi mengine kwa ujumla je kuna ukweli wowote kuhusiana na hiyo. [emoji4] [emoji119] [emoji119]
Ukweli upo na ndio uhalisia
 
Ukweli upo na ndio uhalisia
Sawa nahitaji kufika mkoa wa mbeya naweza kujishughulisha na biashara gani zaidi ambayo soko lake lipo vizuri au shughuli gani ambaye inaweza kufanya nikaishi vizuri kwa unafuu wa maisha. Nisaidie endapo unajua kuhusiana na mkoa huu. [emoji17]
 
Sawa nahitaji kufika mkoa wa mbeya naweza kujishughulisha na biashara gani zaidi ambayo soko lake lipo vizuri au shughuli gani ambaye inaweza kufanya nikaishi vizuri kwa unafuu wa maisha. Nisaidie endapo unajua kuhusiana na mkoa huu. [emoji17]
Km una mtaji fanya biashara ya kuuza Nafaka, itakutoa fasta. Kuna jamaa yangu anafanya shughuli hizo huko Mbeya nikimuona huwa ninamsalimia SHIKAMOO, Yaani yupo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…