NAPENDA KUISHI MBEYA.

NAPENDA KUISHI MBEYA.

Wakuu Hbr za Week-end...!!!!???. Km Kichwa kinavyosomeka, Ktk Mikoa yote ya Tanzania, Mkoa Wa Mbeya nimetokea Kuupenda Kuliko Mikoa mingine Kwasababu kadhaa, Ya Kwanza ikiwa ni Gharama ndogo za Maisha tofauti na Mikoa mingine, Pili Mzunguko Mzuri Wa Fedha, Tatu ni Hali nzuri ya hewa inayovutia Uzalishaji mkubwa wa Mazao ya Chakula na Biashara, Nne ni Miundombinu Bora ya Barabara inayowezesha Usafirishaji wa Bidhaa za Viwandani na Kilimo.Hizo ni baadhi tu ya Sababu, lkn zipo nyingi.Nakupenda Mbeya japo siyo Kwetu.
KARIBU SANA!!!KAZI YA RAHISI KUPATA NI KUWA MPIGA DEBE HAPA SOWETO!KARIBU SANA!!!
 
Mkaa wa mia mbili hahahaaaa you are not serious man.

Kwa sasa chini ya buku hupati msosi wowote kwa mama ntilie, iwe chips kavu au wali maharage hata ugali maharage hupati. Ukienda sehemu ambazo ni changanyikeni kama doksi sahani ya wali maharage ni buku mbili, hapo hujanywa chai + kitafunwa, hujui usiku utakula nini.

Hata tukuyu zamani ndio lilikua kimbilio la wengi lakini saizi nako wameshtuka
Mambo yamebadirika lini ??, Mbona juzijuzi tu mambo yalikuwa fresh.
 
Mimi napenda Kazi ngumu, zinazochukiwa na Wengi.
Mbona na hiyo ni ngumu!Ningekushauri kama baba ana shamba hapo nyumbani kwa nini usiliendeleze?Tena maadamu wewe unapenda kazi ngumu ninakupongeza sana!Unajua mafanikio huja kwa kutumia ifaavyo vitu hivi:NGUVU(KAMA HIZO ULIZONAZO) +MUDA+FEDHA=MAFANIKIO
 
Napenda kutumia nguvu Zangu kwa shughuli ngumu nikiwa Mbeya, kwasababu huko kuna tija, Nikitumia nguvu kulima mazao,najua nikiwa Mbeya Soko la mazao halitanisumbua.
 
Wakuu Hbr za Week-end...!!!!???. Km Kichwa kinavyosomeka, Ktk Mikoa yote ya Tanzania, Mkoa Wa Mbeya nimetokea Kuupenda Kuliko Mikoa mingine Kwasababu kadhaa, Ya Kwanza ikiwa ni Gharama ndogo za Maisha tofauti na Mikoa mingine, Pili Mzunguko Mzuri Wa Fedha, Tatu ni Hali nzuri ya hewa inayovutia Uzalishaji mkubwa wa Mazao ya Chakula na Biashara, Nne ni Miundombinu Bora ya Barabara inayowezesha Usafirishaji wa Bidhaa za Viwandani na Kilimo.Hizo ni baadhi tu ya Sababu, lkn zipo nyingi.Nakupenda Mbeya japo siyo Kwetu.
DAR ES SALAAM JOTO SANA, TUKILALA NI SHIDA..
DA1cGl4W0AQed2T.jpg
 
Huwa nasikia kutoka kwa watu wengi kuwa maisha ya MBEYA yana unafuu kulinganisha na mikoa mingine,

Mfano.
Chakula
Makazi ya kuishi
Biashara
Nguo
Na malezi mengine kwa ujumla je kuna ukweli wowote kuhusiana na hiyo. [emoji4] [emoji119] [emoji119]
Ukweli upo na ndio uhalisia
 
Ukweli upo na ndio uhalisia
Sawa nahitaji kufika mkoa wa mbeya naweza kujishughulisha na biashara gani zaidi ambayo soko lake lipo vizuri au shughuli gani ambaye inaweza kufanya nikaishi vizuri kwa unafuu wa maisha. Nisaidie endapo unajua kuhusiana na mkoa huu. [emoji17]
 
Km una mtaji fanya biashara ya kuuza Nafaka, itakutoa fasta. Kuna jamaa yangu anafanya shughuli hizo huko Mbeya nikimuona huwa ninamsalimia SHIKAMOO, Yaani yupo juu.
 
Back
Top Bottom