sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi.
Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji,
Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi, pawe tulivu, Pawe pia na majirani angalau na kuwe na umeme, internet na huduma nyingine za jamii.
Mfano wa maeneo uwe kama mafinga maeneo ya iringa, tukuyu, singida ile ya naje kidogo na mjini, na sehem nyine kama zenye mifanano hiyo.