sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwa hiyo kifupi ni kwamba Dar hapaepukiki, hata wewe unayependa kukaa miji midogo bado unalazimika kuja DarYani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi.
Napenda kuishi miji midogo tu, Kwa sasa nnependa niishi hata Singida
Kwanini sio Tinde mkuu?Kama mimi napenda kuishi mji mdogo sana mfano mji wa amarillo Texas au santa Fe.
MÊmENtO HoMO
Mengi kaishi mjini mpaka anakufaSipendi kabisa maisha ya mjini.Kama nina uwezo natafuta sehemu huko porini kama marehemu Mengi mjini wachawi wengi.
Tinde pale dah umenikumbusha kitambo kidogo nikitokea meatu na tranka langu nikitokea meatu sec kule mwanhuzi[emoji38][emoji38][emoji119]Kwanini sio Tinde mkuu?
Dar nzuri ukiwa na mahela .. Singida napapenda sana.. japo kamji kadogoYani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi.
Napenda kuishi miji midogo tu, Kwa sasa nnependa niishi hata Singida
Njooni Dom huku hatufukuzagi wageni hata wasipo kuja na USAAJEHata Mimi aise....sema bado nipo dar Ila nikipata connection yoyote huku miji midogo ntaruka ruka
NB .wanaotaka wageni huko mikoani pm me
Karibu singidaHata Mimi aise....sema bado nipo dar Ila nikipata connection yoyote huku miji midogo ntaruka ruka
NB .wanaotaka wageni huko mikoani pm me
Mkuu sio wewe tu.. Hata mimi pia maana hakunaga stress za ajabu kuishi kwenye kimji kidogo..pia fursa ukijiongeza zipo za kutosha na pia mausha ya msongo hakuna kabisa... Mm nimeishi.. Ila kwa sasa nipo DSM kikazi ila naweka mambo sawa nirudi aiseh.....Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi.
Napenda kuishi miji midogo tu, Kwa sasa nnependa niishi hata Singida
😂😂😂 kumbe unapajua pande hizo,nikadhani hata hujawahi kupasikia mkuu.Tinde pale dah umenikumbusha kitambo kidogo nikitokea meatu na tranka langu nikitokea meatu sec kule mwanhuzi[emoji38][emoji38][emoji119]
MÊmENtO HoMO