Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

Mbwa wote hao wewe ni mhehe!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Usituingilie mzee mapanga kwetu ni nje njeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbwa wote hao wewe ni mhehe!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbwa urembo
Mbwa ulinzi
Mbwa rafiki
Mbwa biashara

Tuacheni Mbwa aitwe mbwa uwezo wa kuwalisha ukiwepo hata 100 na zaidi ntafikisha ila malengo makuu yakuwafuga yakiwa mawili

1.Ulinzi
2.Biashara

Ndio mana sitaki kukaa huko mjini nahitaji kule nnje ya mji kbsa niwe mimi na mifugo yangu TU.
 
Mpanda Katavi pisi za kutosha mtaa wa simba mtaa fisi gambe kama kawa Ngawira zipo kamji hakaboi .....kama Texas hahaha missing sana huko..
 
Sijawahi kumiss mkoa wowote Tz zaid ya viwanja mbali mbali vya hapa mjini,


Nikipataga safari nje ya Dsm huwa naumwa kabisa...japo nishafanya michongo kadhaa kwa mikoa kadhaa ,sijawahi ku-enjoy mazingira na wala si-miss chochote zaid ya moment za washkaji,

To live n die in Dar, period
 
sehemu yoyote ambayo naweza kupata mahitaji yangu muhimu kwa haraka na wepesi kama chakula, umeme, maji, miundombinu safi ya barabara na kituo cha kutoa huduma za afya, kwangu ni poa sana.
 
Njooni Dom huku hatufukuzagi wageni hata wasipo kuja na USAAJE
Dom pamekaa kimasikin sana , kunaboa mavumbi ukame na jangwa jua kal kupauka tu
Panalazmishwa kua sehem bora ila ni kupotezeana muda tu
Singda is the best
 
Mikoan huko bado sana hawana kashkash kama za dar abds kidog mwanza na arusha kulkobak ni majanga tu
Kwa baadh yetu tumeumbiwa sehem inayochangamsha akil kila wakat, sio unaamka asbh had jion hujapata changamoto yoyot
 
Umezungumza ukwel kabisa, changamoto za kwenye hii miji midogo ni maisha ya kufatiliana. Nilipangiwa kituo cha kazi ktk mji mdogo flani upo ktk mkoa flani kanda ya kati yani aisee kuna maisha ya kufatiliana sijapata kuona, kuna jamaa yangu nilikuwa naishi nae nyumba moja alinunua gari basi ile siku aliyokuja na gari ilikuwa usiku around saa 2 hivi akitokea Dar wakati anakuja nayo nyumbani kuna jamaa wa bodaboda akawa anamfatilia kwa nyuma mpaka home sasa baada ya kushuka yule jamaa wa bodaboda bila haibu anamwambia jamaa nilikuwa naifatilia hii gari nijue ni ya nani!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani upuuzi ulio pindukia.
 
Huo mji mdogo kama siyo Kondoa sijui
 
Miji midogo umbea mwiingii na kufatiliana afu pisi Kali mbili tatu mnagombea,tunaishi huku basi tu hata huduma za kijamii kwa ufinyu
 
Dom pamekaa kimasikin sana , kunaboa mavumbi ukame na jangwa jua kal kupauka tu
Panalazmishwa kua sehem bora ila ni kupotezeana muda tu
Singda is the best
Mkuu Ni rahisi kutoboa Dom kuliko SINGIDA.Ugumu uliopo Tabora ndo uliopo Singida.
N:B UNAWEZA TOBOA KUPITIA SINGIDA UKIWA DODOMA. Takwambia kwanini ukipenda PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…