Napenda kujenga duka kubwa (supermarket) sasa

Shukulove

Member
Joined
Nov 27, 2022
Posts
33
Reaction score
25
Big supermarket name

Napenda kujenga big supermarket Iringa, nataka watu wakija kununua wanaingia ndani ya duka na kujipatia wanachotaka kwakuwa itakuwa big supermarket.

Nataka jina la hiyo supermarket niitaje hata nikiweka bango mtu awe anakumbuka jina, na sitaki jina linalofanana na maduka mengine. Jina linaweza kutoka kwenye hizi herufi "S A E K N F L J" SUPERMARKET.
 
Super Market ukitoa Arusha na Dar huko Kwingine utaumia sana,
 
Una pesa ya kujenga supermarket kubwa lakini jina huna...

Jenga kwanz hiyo supermarket, jina tutakupa wakati huo...
Najianda habari ya hela niko na dolla kuzibadilisha kuwa tz shillings zina tosha naanza na jina ili jengo likianza kujengwa watu wajuage ni nini najenga
 
Back
Top Bottom