Napenda kujenga duka kubwa (supermarket) sasa

Napenda kujenga duka kubwa (supermarket) sasa

Maduka makubwa ya supermaket kama banobi na ch hamon yamefeli vibaya iringa ungefanya uwekezaji kwenye hotel ama lodge ila biashara za maduka iringa zilishakufa
 
Maduka makubwa ya supermaket kama banobi na ch hamon yamefeli vibaya iringa ungefanya uwekezaji kwenye hotel ama lodge ila biashara za maduka iringa zilishakufa
Duh Banobi supermarket ilikufa? Sijaja Kitambo huko.

Ila kama ndivyo basi sababu itakuwa ni location na sio kwamba Iringa biashara hakuna, Banobi pale alijiweka pabaya....

Amekaa katikati ya uswahili na wahindi, na ukiangalia hapo uhindini wahindi Wana vijisupermarket vyao, hawawezi kuacha kwenda Kwa wahindi wenzao waje pale... Tukija Kwa sisi waswahili tuliozunguka huku Kitanzini, Pale mshindo, ukivuka ng'ambo ukitembea kidogo umefika mashine tatu now maduka ya jumla yamejaa nani Sasa aingie supermarket? pale ni kipato Cha kawaida mnoo wengi, so ni wachache kuingia supermarket.

Iringa Supermarket zinatakiwa zikae angalau Gangilonga, Zizi kule maeneo ambayo watu wa hali ya juu kidogo wamejenga, Mkwawa, Mkimbizi, Tumaini kwenye makazi yenye hadhi.

Ukisema biashara ya maduka imekufa si kweli, mbona Kina Masiti hawafungi maduka miaka na miaka, Pera yupo tangu hatujazaliwa hadi amekufa watoto wanaendelea. Mchawi ni location tu.
 
Big supermarket name

Napenda kujenga big supermarket Iringa, nataka watu wakija kununua wanaingia ndani ya duka na kujipatia wanachotaka kwakuwa itakuwa big supermarket.

Nataka jina la hiyo supermarket niitaje hata nikiweka bango mtu awe anakumbuka jina, na sitaki jina linalofanana na maduka mengine. Jina linaweza kutoka kwenye hizi herufi "S A E K N F L J" SUPERMARKET.
Unataka kujenga big super market (sijui ndio hypermarket) halafu linakusumbua jina tu? Tukienda kwenye mtaji itakuwaje?
 
Back
Top Bottom