- Thread starter
- #21
Kitwiru uyoleIringa wapi? Frelimo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitwiru uyoleIringa wapi? Frelimo
Najianda habari ya hela niko na dolla kuzibadilisha kuwa tz shillings zina tosha naanza na jina ili jengo likianza kujengwa watu wajuage ni nini najenga
AsanteBango la ujenzi halihitaji uwepo wa jina...
Ukitaka watu wajue unachojenga, bango litaandika kinachojengwa ni supermarket
Yeah sure.Au Hata Kihesa
Wow asaKwanza hakikisha jina la Supermarket linatamkika kirahisi kwa yeyote na epuka majina yanayohusisha familia (eg; SANGA Supermarket, Ikolelo Supermarket, etc).
Jina liwe simple na lisiumize mtu kichwa kupakumbuka...mfano KUTA KINTE SUPERMARKET,HAKIKA SUPERMARKET, LEVEL ONE SUPERMARKET, e.t.c
Nime tembea nime jionea nini kwetu hakipo ndo maana nataka nikilete hiyo ya wapi na wapi wengine mpaka leo hatuaminigi tume fikafikaje pale maana hatujawahi hata kuota lakin ndo tupoWahehe na Supermarket wapi na wap?
Nita jitahidiKwa kweli atuletee gangilonga tu
Na jiandaa kurudi nyumbani iki kamilika ujenzi narudi mwenyewe kufanya kaziMmh dada uko marekani unataka kujenga supermarket nani atasimamia? Kwanini usijenge kitu ambacho hakitakupa stress
Safi sana hapo sawa. Kila la kheri maana mimi pia ni mfanyabiashara so nikajua unamwachia mtu. Kama unasimamia mwenyewe mafanikio utayaona vizuri tuNa jiandaa kurudi nyumbani iki kamilika ujenzi narudi mwenyewe kufanya kazi
AsanteSafi sana hapo sawa. Kila la kheri maana mimi pia ni mfanyabiashara so nikajua unamwachia mtu. Kama unasimamia mwenyewe mafanikio utayaona vizuri tu
Wow nashukuru kwa ushauri wako napenda sana pia katika kilimo lakini mwenye ata kwenda kusimamia kazi shambani ndo sina wala sijui naanza je sina marafiki iringa so labda nikimpata mtu Nimu ajili nikisema tuchange nita chunwa tu uaminifu kwenye hela ni changamoto lakini nashukuru kwa ushauri wako nita fikiliaHabari Mkuu. Mtu ambaye unarudi Africa kuInvest na kutulia nyumbani ukiwa na nguvu ya dollar na kutaka kuwekeza nyumbani iringa... Hongera sn. Ushauri wangu fanya tafiti juu ya biashara yyt ambayo ni ya uzalishaji moja kwa moja. Nadhani nguvu ya mtaji wako inatosheleza kuanzisha small industry Mfano ya mafuta ya kula, unga maji, sabuni nk. Also since ni iringa explore kununua shamba la miti ili baadae uwe unavuna mbao... Iringa Kuna parachichi, vitunguu, nyanya kwa wingi... Vp kuhusu packaging industry ya agricultural products for export? Iringa so Kuna airport? Lakini pia why usinunue ardhi ukaweka greenhouses zako kadhaa ukachimba kisima ili ufanye kilimo cha kisasa? Kuna changamoto nyingi ktk uendeshaji wa big supermarket tena sasa wewe unataka kuifungilia iringa aisee. Buy land, get into kilimo cha kisasa au invest in small industry. Huo ndio ushauri wangu Mkuu
Siku ya kurudi Iringa unijulishe ili twende tukamsalimie Mzee maarufu pale Iringa Mjini! Anaitwa Mzee Mgaya.Niko marekani ila nyumbani ni iringa