Napenda kujenga duka kubwa (supermarket) sasa

Najianda habari ya hela niko na dolla kuzibadilisha kuwa tz shillings zina tosha naanza na jina ili jengo likianza kujengwa watu wajuage ni nini najenga

Bango la ujenzi halihitaji uwepo wa jina...

Ukitaka watu wajue unachojenga, bango litaandika kinachojengwa ni supermarket
 
Kwanza hakikisha jina la Supermarket linatamkika kirahisi kwa yeyote na epuka majina yanayohusisha familia (eg; SANGA Supermarket, Ikolelo Supermarket, etc).
Jina liwe simple na lisiumize mtu kichwa kupakumbuka...mfano KUTA KINTE SUPERMARKET,HAKIKA SUPERMARKET, LEVEL ONE SUPERMARKET, e.t.c
 
Wow asa
 
Wahehe na Supermarket wapi na wap?
Nime tembea nime jionea nini kwetu hakipo ndo maana nataka nikilete hiyo ya wapi na wapi wengine mpaka leo hatuaminigi tume fikafikaje pale maana hatujawahi hata kuota lakin ndo tupo
 
Utaingia hasara sikushauri supermarket au biashara kubwa ya chakula siwezi kukushauri kabisa kuweka katika mikoa ya kanda za juu kusini
Mini supermarket OK
Au pharmacy OK au kama una hela nyingi hospitali dispensary OK

Ila smarket no
 
Habari Mkuu. Mtu ambaye unarudi Africa kuInvest na kutulia nyumbani ukiwa na nguvu ya dollar na kutaka kuwekeza nyumbani iringa... Hongera sn. Ushauri wangu fanya tafiti juu ya biashara yyt ambayo ni ya uzalishaji moja kwa moja. Nadhani nguvu ya mtaji wako inatosheleza kuanzisha small industry Mfano ya mafuta ya kula, unga maji, sabuni nk. Also since ni iringa explore kununua shamba la miti ili baadae uwe unavuna mbao... Iringa Kuna parachichi, vitunguu, nyanya kwa wingi... Vp kuhusu packaging industry ya agricultural products for export? Iringa so Kuna airport? Lakini pia why usinunue ardhi ukaweka greenhouses zako kadhaa ukachimba kisima ili ufanye kilimo cha kisasa? Kuna changamoto nyingi ktk uendeshaji wa big supermarket tena sasa wewe unataka kuifungilia iringa aisee. Buy land, get into kilimo cha kisasa au invest in small industry. Huo ndio ushauri wangu Mkuu
 
The ability to think beyond reality and wish for a better future. That is to "dare to dream"
Yes! Inawezekana kabisa ukajenga Supermarket kubwa hapo Iringa. All the best.
 
Habari Mkuu. Mtu ambaye unarudi Africa kuInvest na kutulia nyumbani ukiwa na nguvu ya dollar na kutaka kuwekeza nyumbani iringa... Hongera sn. Ushauri wangu fanya tafiti juu ya biashara yyt ambayo ni ya uzalishaji moja kwa moja. Nadhani nguvu ya mtaji wako inatosheleza kuanzisha small industry Mfano ya mafuta ya kula, unga maji, sabuni nk. Also since ni iringa explore kununua shamba la miti ili baadae uwe unavuna mbao... Iringa Kuna parachichi, vitunguu, nyanya kwa wingi... Vp kuhusu packaging industry ya agricultural products for export? Iringa so Kuna airport? Lakini pia why usinunue ardhi ukaweka greenhouses zako kadhaa ukachimba kisima ili ufanye kilimo cha kisasa? Kuna changamoto nyingi ktk uendeshaji wa big supermarket tena sasa wewe unataka kuifungilia iringa aisee. Buy land, get into kilimo cha kisasa au invest in small industry. Huo ndio ushauri wangu Mkuu
Wow nashukuru kwa ushauri wako napenda sana pia katika kilimo lakini mwenye ata kwenda kusimamia kazi shambani ndo sina wala sijui naanza je sina marafiki iringa so labda nikimpata mtu Nimu ajili nikisema tuchange nita chunwa tu uaminifu kwenye hela ni changamoto lakini nashukuru kwa ushauri wako nita fikilia
 
Niko marekani ila nyumbani ni iringa
Siku ya kurudi Iringa unijulishe ili twende tukamsalimie Mzee maarufu pale Iringa Mjini! Anaitwa Mzee Mgaya.

Huyo Mzee ana fremu za biashara zaidi ya 100 pale stendi ya zamani. Hivyo itakuwa ni rahisi wako kupata walau fremu moja ya kuanzishia hiyo supermarket yako.
 
Back
Top Bottom