Super Market ukitoa Arusha na Dar huko Kwingine utaumia sana,Big supermarket name
Napenda kujenga big supermarket Iringa, nataka watu wakija kununua wanaingia ndani ya duka na kujipatia wanachotaka kwakuwa itakuwa big supermarket.
Nataka jina la hiyo supermarket niitaje hata nikiweka bango mtu awe anakumbuka jina, na sitaki jina linalofanana na maduka mengine. Jina linaweza kutoka kwenye hizi herufi "S A E K N F L J" SUPERMARKET.
AsanteSuper Market ukitoa Arusha na Dar huko Kwingine utaumia sana,
Au Hata KihesaUchumi wa Iringa ni wanunuzi wa bidhaa kwenye supermarkets au kwa mangi. Labda uijenge Gangilonga. Kila la heri.
Najianda habari ya hela niko na dolla kuzibadilisha kuwa tz shillings zina tosha naanza na jina ili jengo likianza kujengwa watu wajuage ni nini najengaUna pesa ya kujenga supermarket kubwa lakini jina huna...
Jenga kwanz hiyo supermarket, jina tutakupa wakati huo...
Ni kweliWatu wanafuata huduma ndugu yangu
Unaweza kuwa na jengo, jina la sehemu na vitu vingine vikawa sawa lakini siku zote service haiwezi kuwa sawa, zingatia hilo.
AsanteUchumi wa Iringa ni wanunuzi wa bidhaa kwenye supermarkets au kwa mangi. Labda uijenge Gangilonga. Kila la heri.
🤣🤣🤣🤣🤣Nashauri jina iwe TOZO Supermarket!, hakuna mteja atayesahau [emoji851]
Nina niaunapenda?
WowMambo mrembo? Karibu sana apa twiga pub maeneo ya ilala tujadili vzr hilo suala lako
Niko marekani ila nyumbani ni iringaUnaota au unataka? Kwanza upo wapi Masaki?