Duh Banobi supermarket ilikufa? Sijaja Kitambo huko.Maduka makubwa ya supermaket kama banobi na ch hamon yamefeli vibaya iringa ungefanya uwekezaji kwenye hotel ama lodge ila biashara za maduka iringa zilishakufa
Unataka kujenga big super market (sijui ndio hypermarket) halafu linakusumbua jina tu? Tukienda kwenye mtaji itakuwaje?Big supermarket name
Napenda kujenga big supermarket Iringa, nataka watu wakija kununua wanaingia ndani ya duka na kujipatia wanachotaka kwakuwa itakuwa big supermarket.
Nataka jina la hiyo supermarket niitaje hata nikiweka bango mtu awe anakumbuka jina, na sitaki jina linalofanana na maduka mengine. Jina linaweza kutoka kwenye hizi herufi "S A E K N F L J" SUPERMARKET.