Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Walionipa hilo jina
Kuna nini humu hadi awe makini
Kwanini mnamtisha mgeni jamani, mwambie karibu inatosha. Mambo ya trust nobody yaacheni atakuja kukosa connection kisa uoga. π
Kwanini mnamtisha mgeni jamani, mwambie karibu inatosha. Mambo ya trust nobody yaacheni atakuja kukosa connection kisa uoga. π
Kumbe huyo ni ME? Dah nilikua namvutia kasi nizame PM πHa ha ha, ukute Aurora analinda koloni lake kwa kuwatisha wageni.
Kumbe huyo ni ME? Dah nilikua namvutia kasi nizame PM π
Mtoa tahadhariYupi kati ya hao?
Mwanzisha thread au mto tahadhari.
Mtoa tahadhari
πππUnataka kugonganisha magari eeh!
Huyo mimi pia niko kwenye mkakati.
Kuna nini humu hadi awe makini
Sent using simu mbovu
Kwanini mnamtisha mgeni jamani, mwambie karibu inatosha. Mambo ya trust nobody yaacheni atakuja kukosa connection kisa uoga. [emoji16]
Sawa mkuu
Ha ha ha, ukute Aurora analinda koloni lake kwa kuwatisha wageni.