Einsten
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 921
- 795
Habari za muda wakuu,
Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China na South Korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX wameniambia wao hawaSHIP vitu vyenye battery kutoka china na korea labda USA (usa gharama).
Maana kwa hawa mawakala wengne kama Unique wana-charge $25/pc sasa faida inakuaga ndogo sana na korea ndio hawapo kabisa.
Mwenye uzoefu wa kununua simu kwenye hizo nchi mbili CHINA na SOUTH KOREA naomba anipe mwongozo.@Mwl.RCT kaka naomba uzoefu wako maana wote tunataka tuendeshe Benz[emoji23][emoji23]