Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China

Napenda kujua taratibu za kuagiza simu China

Tatizo ya hawa nishaweka juu hapo na kingine unique ni china tu pia wanatumia ndege ma gharama zao ni kwa simu moja nilitaka watu ambao naweza nikasafirisha simu kwa KG
Simu kwa kg? Cargo gani itakubali hiyo liability? Hiyo dola 25 bado ni affordable
 
hawa ni ndege kiongoz alaf hyo $25 huwa wanacharge kwa pc moja wanaweka mpaka ushuru ila kwa sasa simu hazina VAT
Mkuu hivi kuingiza simu una uzoefu kidogo? Mambo ya kodi vipi? Nimeona umesem hazina VAT, unalipa kodi gani?
 
Back
Top Bottom