Munambefu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2,811 Reaction score 7,200 May 27, 2022 #21 Einsten said: Tatizo ya hawa nishaweka juu hapo na kingine unique ni china tu pia wanatumia ndege ma gharama zao ni kwa simu moja nilitaka watu ambao naweza nikasafirisha simu kwa KG Click to expand... Simu kwa kg? Cargo gani itakubali hiyo liability? Hiyo dola 25 bado ni affordable
Einsten said: Tatizo ya hawa nishaweka juu hapo na kingine unique ni china tu pia wanatumia ndege ma gharama zao ni kwa simu moja nilitaka watu ambao naweza nikasafirisha simu kwa KG Click to expand... Simu kwa kg? Cargo gani itakubali hiyo liability? Hiyo dola 25 bado ni affordable
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 May 27, 2022 #22 Einsten said: hawa ni ndege kiongoz alaf hyo $25 huwa wanacharge kwa pc moja wanaweka mpaka ushuru ila kwa sasa simu hazina VAT Click to expand... Mkuu hivi kuingiza simu una uzoefu kidogo? Mambo ya kodi vipi? Nimeona umesem hazina VAT, unalipa kodi gani?
Einsten said: hawa ni ndege kiongoz alaf hyo $25 huwa wanacharge kwa pc moja wanaweka mpaka ushuru ila kwa sasa simu hazina VAT Click to expand... Mkuu hivi kuingiza simu una uzoefu kidogo? Mambo ya kodi vipi? Nimeona umesem hazina VAT, unalipa kodi gani?