Hahahhaa hii observation yako ni nzuri sana ila naomba mimi niitazame kwa namna ya tofauti, na huenda nikakubaliana na wewe kuwa walikosa elimu ya vita. Kwenye maisha kuna nyakati ambazo akili ya darasani inaishia ukomo, unakua huna option nyingine zaidi ya kwenda mbele na ili uendelee mbele unahitaji, sacrifice, commitement and determination hivi vyote vikiwa wrapped kwenye kitu inaitwa HOPE.
kwahio kweli hawakua na elimu ya "VITA" vya Kigeni (to be specific) hivyo njia rahisi ikawa ni kuwapandisha mzuke/kuwatia mori wapiganaji ili kuwa hata kama "tutashindwa' ila tutakua tumejifunza jambo. Umenikumbusha story ya Mama aliyechemshan mawe akiwaamisha watoto wake kwamba chakula kiko jikoni kinachemka na kitaiva wale.