Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Fulling Porce

Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
39
Reaction score
36
Wakuu salaaam!!

Straight to the point katika maisha ni bora sana ukiwafahamu watu tofauti ubaokutana nao katika shughuli mbalimbali za kimaisha...

Binafsi katika swala la makabila napenda kujua zaidi kuhusu kabila Tajwa hapo juu.. wabondei watu wa tanga...

Wakuu mnaexperience gani au ujuzi gani kuhusu hawa watu..?
 
Mwag
Ni moja ya makabila ya kwanza kupata elimu. Baada ya uhuru wengi walikuwa serikalini. Ni waaminifu mno wakistaafu hata kalamu aliyotumia ataiacha mezani.
Utilio mama wewe mbondei wa wapi?
 
Back
Top Bottom