Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

N wazuri mkuu na wako pale muheza Tanga
Mapenzi hao ndo mafundi ila shule n ndogo kwao na pia n wa2 ambao hubagua sana kazi yan hawafanyi kazi zote hasa zle dhaifu n bora kama n manzi aamke asugue kucha kuliko kuwa na genge
.....mlango wa nane !
 
Wanapatikana mkoa Wa tanga,,wilaya ya muheza,,ni Wa watu wazuri,,wanapenda sn ELIMU,,wengi walikibali kubadilisha DINI sababu ya KUSOMA SHULE ZA missionary hapo zamani,,,pia wanashabihiana sana LAFUDHI ,,,na baadhi ya MILA ZA WAZIGUWA NA WASAMBAA,,,MIAKA ya zamani ilikuwa WADIGO MARUFUKU KUOA MWANAMKE WA KIBONDEI,,,,ila WANAWAKE wao ni WAONGEAJI SANA,,
 
Oooh shukrani mkuu... ila hapo kwenye kuongea sana hatarii
 
Wanapatikana mkoa Wa tanga,,wilaya ya muheza,,ni Wa watu wazuri,,wanapenda sn ELIMU,,wengi walikibali kubadilisha DINI sababu ya KUSOMA SHULE ZA missionary hapo zamani,,,pia wanashabihiana sana LAFUDHI ,,,na baadhi ya MILA ZA WAZIGUWA NA WASAMBAA,,,MIAKA ya zamani ilikuwa WADIGO MARUFUKU KUOA MWANAMKE WA KIBONDEI,,,,ila WANAWAKE wao ni WAONGEAJI SANA,,
Hapo kwenye kuongea loooh!... Yaan mpaka namwambiaga naomba uniache kichwa changu kipate mawazo mapya!...mtoto anaongea yule kama kameza betri
 
Back
Top Bottom