Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Write your reply...ni mlango wa nane ukitaka ufukuzwe kazi maisha yako yayumbe oa mbondei wanawezana wenyewe kwa wenyewe
Hizo ni imani tu mkuu,,mm ni mdigo na nimeishi na mwanamke Wa kibondei kwa mafanikio makubwa,,,,ila history inasema hapo zamani WADIGO NA WABONDEI waliwahi KUPIGANA VITA....kugombea mji Wa TANGA MJINI....maana Tanga yote ilikuwa ni MASHAMBA YA WABONDEI na ndy wenye mji Wa TANGA....TANGA kwa Kibondei maana YAKE ni SHAMBA...asili ya WADIGO ni MOMBASA...
 
Ni moja ya makabila ya kwanza kupata elimu. Baada ya uhuru wengi walikuwa serikalini. Ni waaminifu mno wakistaafu hata kalamu aliyotumia ataiacha mezani.
Ndo maana Muhezz pamezubaa hamna maendeleo.
..kidoooogo huyu Mchechu mwenye Magoroto atasaidia pajulikane. Wabondei Waswahili mnoo
 
Wavulana wa kileo wengi wanapenda mserereko! Eti 'kusaidiana' kimaisha
Hakuna kabila au mkoa usio na Malaya Me/Fe kama lipo hilo kabila naomba mnitajie


Watu mnasahau majukumu ya Mwanamke, Mwanamke kazi yake kubwa ni kulea na kuisimamia familia kwenye malezi na kuzaa hana kazi nyingine,

Naona hapa wachangiaje wengi wanasema wanawake wa Tanga ni
-Malaya
-Wavivu

Unataka kuoa mwanamke kwaajili ya kwenda kukupasulia kokoto/mawe? Au kumlimisha shamba????
 
Wanawake wengi wa makabila ya Tanga kazi kubwa ni usafi na kujitengeneza kwa ajilivya kuwadaka wanaume, kila wakati wanawaza ngono
Mamako asingewaza ngono ungezaliwa wewe? Wacheni kashfa zenu za kishamba
 
Wame survive kwa kuoana wenyewe kwa wenyewe ndio maana bado wachache sana.
Siyo kweli... hizi dhana zilikuwa makabila mengi ya nchi hii huko zamani.. kuwa ukioa kabila nyingine unadhurika au hutapata maendeleo mfano ni wa kurya huko Mara na wazanaki.. kilichotokea kwa bonde ni kwmba dini iliwahi kuingia pale na wazee wetu wakaipokea kwa mikono miwili hivyo mambo yakuoa wana wengi, kuzaa sana na kuw na michepuko wazee wetu wa mwanzo kabisa waliachana nayo.. ustaarabu wa kizungu uliwaingia sana na kuwa watu waliojaa upendo na werevu wakubwa...
 
Waongeaji sana na ushirikina hapo ndio kwao
Kuhusu ushirikina na kuongea sana hakuna kabila halina sifa hizi.. kama hujawah tembea basi nenda kigoma sumbawanga songwe bagamoyo songea mtwara na maeneo mengi ya nchi hii.. siyo bonde pekee.. na hii ni tabia ya mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom