Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Ninae mmoja mchepuko wang yan ni headache. Bora hata ningebak njia kuu. Mchepuko wa kibondei
Wanaomba sana hela yan vizinga jata vinne ndan ya siku moja. Halaf mbaya zaid hela anazotaka ni akasherehekee na mashosti zake.
Tena akukamue vizuri tu si umemfanya kipozeo.
 
...Wadigo kwao ni ukoo mmoja tu ndo ulikubali kubadilisha dini kwa ajili ya Shule. Ukoo wa mzee Pera, ndiko walikotokea akina Pro. Jengo (Udsm) akina Eng. William Boko (aliwahi kuwa kiongozi wa Yanga). Watoto wao wote wanawaita majina ya kidigo ya ndani ndani kabisa ku save identinty. Kanisa lao lipo pale Kana, karibu na Tangamano Hall. Wadigo hawakuwapenda Wabondei kwa ajili ya kuchezea dini (kubadilisha badilisha) pia ndio walikuwa wauza Bar (barmaid) wa kwanza kabisa 'wenyeji' kuingia katika fani hiyo. Hivyo Wadigo wapo 'sensitive' sana na dini.
Umesahau ukoo wa Mzee Tawi Vesso,Mzee Zumo.Hawa wadigo wamwanzo kabisa kupokea injili
 
[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21] narud njia kuu kesho
Sky Eclat asikudanganye huyo, kwa mdogo wako amedata tu! Kilichompeleka kimeisha? Njia kuu zina karaha sana maana kila siku kuomba inachosha. Muulize kwa mdogo wako kila siku kumtafuta aje ajilie kiroho safiiiii
 
Ninae mmoja mchepuko wang yan ni headache. Bora hata ningebak njia kuu. Mchepuko wa kibondei
Wanaomba sana hela yan vizinga jata vinne ndan ya siku moja. Halaf mbaya zaid hela anazotaka ni akasherehekee na mashosti zake.
Sisi wanaume sijui huwa tunakosea wapi, badala ya kutafuta solution unalalamika, hilo tatizo la kukupiga mizinga unaweza kulitatua, kwann usimweke chini huyo mchepuko na kumpa ushauri, au mfungulie biashara atakayo isimamia ya kumwingizia kipato achane kukupiga mizinga...
 
Ni moja ya makabila ya kwanza kupata elimu. Baada ya uhuru wengi walikuwa serikalini. Ni waaminifu mno wakistaafu hata kalamu aliyotumia ataiacha mezani.
Haha kweli Dada ndio maana ingawaje ni wa kwanza kwenda shule na kufanya kazi serekalini lakini wengi wa wastaafu hali zao sio nzuri. Refer spika Mang'enya
 
Haha kweli Dada ndio maana ingawaje ni wa kwanza kwenda shule na kufanya kazi serekalini lakini wengi wa wastaafu hali zao sio nzuri. Refer spika Mang'enya
Walikuwa na uaminifu mkubwa mno, nidhamu ya elimu ya mkoloni.
 
Siwezi nikamfungulia biashara mchepuko. Ni kumkanya tu kuwa tabia yake siipendi. Biashara anafunguliwa njia kuu tu

Back
Top Bottom