Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
[emoji12] ....kuhama nyumba ya serikali mpaka ulete polisi, miongoni mwa wasomi wa mwanzo wa kibondei ni Steven Muhando, Erasto Mang'enya na Fred Jimm Mdoe !Ni moja ya makabila ya kwanza kupata elimu. Baada ya uhuru wengi walikuwa serikalini. Ni waaminifu mno wakistaafu hata kalamu aliyotumia ataiacha mezani.