'kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania'...kweli? Hata kwa medical-related courses? How about agricultural course? Ama ni bora kwa kozi uliyosoma wewe? unatushawishije kua kinatoa elimu bora kuliko vyote wakati unaponda Economics ya pale na pengine kuna vyuo vingine vizuri vya kozi hiyo?
tragedy of the commons
Ndugu yangu Gari sio kitu Cha mchezo, Mafuta anaekewa na Nani? Au wanatafuta sababu wakubwa wa chama walemzigo kimyakimya kisa full tank?Wanatumika wapate mradi wao. Inaanza kulipa. habari za kuaminika J.Shonza amezawadiwa Ofisi na Gari, Nini zaidi kwa mtu ambae anatumikia tumbo?
Inaonyesha ni jinsi gani usivyo ujua ukilaza wa UDSM. Na hata hujui unacho kitetea pia. Wewe mwenyewe kwa jinsi ulivyo andika tayari usha-thibitisha kwamba umejaa ukilaza. Halafu unakuja kutetea ukilaza wa UDSM wakati wewe ni zao la UDSM na umejaa ukilaza.
Heri ungekaa kimya huenda tungejua walio leta hiyo mada walitudanganya. Lakini kwa uzi wako huu, tumesha jiaminisha kwamba UDSM inazalisha vilaza na mmoja wapo ni wewe. Pitia uzi wako ili ujiridhishe jinsi ulivyo kilaza.
Tafadhali usiendelee kujadili mada hii maana utaendelea kutuonyesha ukilaza wako zaidi.
Sawa kabisa! yaani nimeshangaa sana huyu jamaa ametetea kwa nguvu zake zote kuwa pale hakutoki vilaza wakati yeye mwenyewe amefanya makosa mengi sana katika hiyo post yake tena ikiwa katika LUGHA YA KISWAHILI.Angeiandika kwa kiingereza ungeshangaa.hadi kufikia hapo serikali ina mchango wake.wamezidi mno kuzoazoa watu wa kuwapeleka pale.
yaani nyie pigeni keleleee kuhusu ubora wa vyuo et al lkn mwamuzi wa mwisho ni URS.
istoshe kwenye ajira huajiriwi eti ulisoma chuo gani bali unaweza kudeliver kiasi gani.
Kaka nakubali kukosea kwasababu kiswahili ni lugha na inadegree yake. Ila ungekosoa kwa kiingereza unachotaka tungeona umahiriwako wa kutumia lugha hiyo! Maana kumbe kwako ukilaza ni mtu asiejua kiingereza!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mada inahusu udsm sio Mwigulu. Wakati weka siasa pembeni ujadili mambo ya msng.
Kumekuwa na Taarifa kuwa UDSM kinazalisha vilaza. Napenda kuwahasa wananchi waendelee kusoma pale maana ndio chuo pekee kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania. Matatizo ni machacha sana kwenye kitengo cha uchumi, kitengo hiki hakina walimu ndio maana wanaomaliza uchumi pale bila kupata elimu ya ziada nje ya nchi unakuwa useless katika taifa. Walimu wote wa uchumi wa UDSM ndio hovyo paka kupelekea wahitimu kutotoa mchango wowote katika nchi hii! Hivyo naomba mjue vitengo vingine viko sawa kabisa ila kitengo cha uchumi ni chakukiangaliza zaidi ikiwezekana kifutwe ili chuo kisiendelee kuchafuka.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hamna kitu kama hicho,bado mnazidi kuonyesha ubovu wenu kinacho angaliwa sio GPA bali ni uwezo wa mtu husika na mahali husikaTukubali tukatae ukweli ni kwamba wengi bado mnakiadmire chuo kikuu cha Taifa(udsm) sema tuu hamkupata nafasi ya kusoma pale na wengi mnajilaumu na wengine ambao hamjasoma masters hakuna chuo mnachofikiri kwenda kusoma zaid ya udsm unless GPA zenu haziwaruhusu kuingia pale mana kama umesoma chuo kingine ikiwa ili uwe admitted pale kwny GPA yako toa 0.7 ndo utakuwa ufaulu wako
nakuunga mkono.. Fatou bouda mwendesha mashtaka mkuu wa icj kasoma chuo ambacho hakipo hata katika top 100 za vyuo duniani nw ndo chief prosecutor wa icj. Maisha sio ulisoma wapi maisha ni elimu uliyonayo imekupa mafanikio gani. Mwingne kamaliza ud na pass yake yuko mtaan hana kaz mwenzake wa chuo kingne yuko bot ana deliver afu bado kelele nyiiingi "nimesoma ud" sasa una nini ndugu? Mimi nlisoma ud lakini naona hawa wanao jitamba na uvyuo ni wanafunzi na hawajayaona maisha nje ya chuo less experienced home feeding with blind ambitions babies. Sisi tuliosoma ud tukipiga kelele na wale wa harvard na oxford wafanyeje? Tuache ushamba wa form two c