Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

Finance Ministers,Mkulo then Mgimwa,hawana degree ?????

Hata JK naona amedhalau wasomi wote toka economics department ya UDSM
 
'kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania'...kweli? Hata kwa medical-related courses? How about agricultural course? Ama ni bora kwa kozi uliyosoma wewe? unatushawishije kua kinatoa elimu bora kuliko vyote wakati unaponda Economics ya pale na pengine kuna vyuo vingine vizuri vya kozi hiyo?

tragedy of the commons

teh teh furahisha sana last line.
 
Bado mkuu kama na wewe ni product ya UD basi unazidi kudhihirisha ukilaza ni bora mkatulia tu.
 
Wanatumika wapate mradi wao. Inaanza kulipa. habari za kuaminika J.Shonza amezawadiwa Ofisi na Gari, Nini zaidi kwa mtu ambae anatumikia tumbo?
Ndugu yangu Gari sio kitu Cha mchezo, Mafuta anaekewa na Nani? Au wanatafuta sababu wakubwa wa chama walemzigo kimyakimya kisa full tank?
 
Inaonyesha ni jinsi gani usivyo ujua ukilaza wa UDSM. Na hata hujui unacho kitetea pia. Wewe mwenyewe kwa jinsi ulivyo andika tayari usha-thibitisha kwamba umejaa ukilaza. Halafu unakuja kutetea ukilaza wa UDSM wakati wewe ni zao la UDSM na umejaa ukilaza.

Heri ungekaa kimya huenda tungejua walio leta hiyo mada walitudanganya. Lakini kwa uzi wako huu, tumesha jiaminisha kwamba UDSM inazalisha vilaza na mmoja wapo ni wewe. Pitia uzi wako ili ujiridhishe jinsi ulivyo kilaza.

Tafadhali usiendelee kujadili mada hii maana utaendelea kutuonyesha ukilaza wako zaidi.


Sawa kabisa! yaani nimeshangaa sana huyu jamaa ametetea kwa nguvu zake zote kuwa pale hakutoki vilaza wakati yeye mwenyewe amefanya makosa mengi sana katika hiyo post yake tena ikiwa katika LUGHA YA KISWAHILI.Angeiandika kwa kiingereza ungeshangaa.hadi kufikia hapo serikali ina mchango wake.wamezidi mno kuzoazoa watu wa kuwapeleka pale.
 
yaani nyie pigeni keleleee kuhusu ubora wa vyuo et al lkn mwamuzi wa mwisho ni URS.
istoshe kwenye ajira huajiriwi eti ulisoma chuo gani bali unaweza kudeliver kiasi gani.
 
Sawa kabisa! yaani nimeshangaa sana huyu jamaa ametetea kwa nguvu zake zote kuwa pale hakutoki vilaza wakati yeye mwenyewe amefanya makosa mengi sana katika hiyo post yake tena ikiwa katika LUGHA YA KISWAHILI.Angeiandika kwa kiingereza ungeshangaa.hadi kufikia hapo serikali ina mchango wake.wamezidi mno kuzoazoa watu wa kuwapeleka pale.

Kaka nakubali kukosea kwasababu kiswahili ni lugha na inadegree yake. Ila ungekosoa kwa kiingereza unachotaka tungeona umahiriwako wa kutumia lugha hiyo! Maana kumbe kwako ukilaza ni mtu asiejua kiingereza!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Fungua link iooo.nimemaliza.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373696895167.jpg
    uploadfromtaptalk1373696895167.jpg
    32 KB · Views: 85
yaani nyie pigeni keleleee kuhusu ubora wa vyuo et al lkn mwamuzi wa mwisho ni URS.
istoshe kwenye ajira huajiriwi eti ulisoma chuo gani bali unaweza kudeliver kiasi gani.

Nakuunga mkono.. Fatou Bouda mwendesha mashtaka mkuu wa ICJ kasoma chuo ambacho hakipo hata katika top 100 za vyuo duniani nw ndo CHIEF PROSECUTOR wa ICJ. Maisha sio ulisoma wapi maisha ni elimu uliyonayo imekupa mafanikio gani. Mwingne kamaliza UD na pass yake yuko mtaan hana kaz mwenzake wa Chuo kingne yuko BoT ana deliver afu bado kelele nyiiingi "nimesoma UD" sasa una nini ndugu? Mimi nlisoma UD lakini naona hawa wanao jitamba na uvyuo ni wanafunzi na hawajayaona maisha nje ya chuo less experienced home feeding with blind ambitions babies. Sisi tuliosoma UD tukipiga kelele na wale wa Harvard na Oxford wafanyeje? Tuache ushamba wa form two C
 
Kaka nakubali kukosea kwasababu kiswahili ni lugha na inadegree yake. Ila ungekosoa kwa kiingereza unachotaka tungeona umahiriwako wa kutumia lugha hiyo! Maana kumbe kwako ukilaza ni mtu asiejua kiingereza!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

kukiri mapungufu siyo udhaifu!heshima ya UDSM ya miaka ile,siyo ya sasa.kunatofauti kubwa sana ya produt za zamani na sasa.kuna wana sheria wa miaka ile ilikuwa raha kuwasikiliza wakiwa kazini.Binafsi niliwahi kuhudhuria kesi ya uhaini ya kutaka kumpindua mwalimu NYERERE nilivutiwa sana na umahiri wa wana sheria wa pande zote. walikua wanajua wanachofanya.ile ilikuwa ni product bora kabisa ya UDSM. Mimi nimesoma enzi za mwalimu bwana sina tatizo la kiingereza wala kiswahili.KWA CHUO KAMA UDSM, hata kuanza kusemwa semwa hivi ni changamoto kubwa sana kwao. ni lazima waangalie product wanazo toa.akina mwigulu and the likes wanakiangusha sana
 
kwa kusoma comments za watu humu, nimegundua kumetokea mgawanyiko.
kuna waliosoma UDSM, na wanakiri kuwa kiwango cha elimu kimeshuka, kuna waliosoma hapo na wanaamini kuwa bado chuo kina toa ubora ule ule, na kuna wale waliokosa nafasi ya kusoma UDSM, na huenda wana hasira na wanaishia kukiponda chuo.
my take: UBORA WA CHUO KILE BADO UPO, ILA PRODUCTS ZINATOFAUTIANA AS KILA ALIESOMA PALE ANAAMUA KUWA PRODUCT NZURI AMA MBAYA. mwigulu, shonza na wengine walikuwa products nzuri za UDSM, ila wamechagua application ambayo kwetu sio nzuri.
 
Mada inahusu udsm sio Mwigulu. Wakati weka siasa pembeni ujadili mambo ya msng.

Nadhani alikuwa tu akitoa mfano kuthibitisha kuwa wachumi wanaozaliishwa UDSM kuna kitu wanakosa.
 
Ukweli ni kwamba UDSM imeonesha ubora Tanzania kwa fani zinatolewa pale...ingawa sio kwamba vyuo vingine Tanzania havina ubora ktk fani wanazozitoa...SUA kwa kilimo wako njema, ARDHI na MUHAS (ingawa ni zao la UDSM), MU nao pia wako vizuri na mchango wao ktk nchi hii unaonekana wazi wazi....kila mmoja au ndugu yake alishaugua na kwenda hospitali ambako huenda alipata msaada toka kwa dkt aliyesoma Muhimbili....vivyo hivyo ktk kilimo.

Pia, uwezo wa utendaji wa mhitimu usipimwe tu kwa kukitazama chuo alichosoma...unaweza ukachukua mhitimu aliyesoma Harvad or Yale na kumpima na aliyesoma UDSM au SUA na matokeo yake waliosoma SUA au Mlimani wakafanya vizuri zaidi. Kuthibitisha hilo wako wahadhiri wanaofundisha Harvad na Yale ila misingi yao ya degree ya kwanza imejengwa na UDSM na SUA!!!
 
Zitto naye alisoma UDSM pamoja na Ramadhan Ighondu aliyempa kichapo Dr.Ulimboka?
 
Last edited by a moderator:
we ni Famba la kutupwa,,we unadhani wote ambao hawasomi udsm walikosa nafasi na ufaulu wao ulikua mdogo,,kilaza ww,,thnk big
 
Kumekuwa na Taarifa kuwa UDSM kinazalisha vilaza. Napenda kuwahasa wananchi waendelee kusoma pale maana ndio chuo pekee kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania. Matatizo ni machacha sana kwenye kitengo cha uchumi, kitengo hiki hakina walimu ndio maana wanaomaliza uchumi pale bila kupata elimu ya ziada nje ya nchi unakuwa useless katika taifa. Walimu wote wa uchumi wa UDSM ndio hovyo paka kupelekea wahitimu kutotoa mchango wowote katika nchi hii! Hivyo naomba mjue vitengo vingine viko sawa kabisa ila kitengo cha uchumi ni chakukiangaliza zaidi ikiwezekana kifutwe ili chuo kisiendelee kuchafuka.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

mkuu hicho kitivo cha uchumi si ndo gaidi madelu alisomea hapo digrii ya uchumi au?
 
Tukubali tukatae ukweli ni kwamba wengi bado mnakiadmire chuo kikuu cha Taifa(udsm) sema tuu hamkupata nafasi ya kusoma pale na wengi mnajilaumu na wengine ambao hamjasoma masters hakuna chuo mnachofikiri kwenda kusoma zaid ya udsm unless GPA zenu haziwaruhusu kuingia pale mana kama umesoma chuo kingine ikiwa ili uwe admitted pale kwny GPA yako toa 0.7 ndo utakuwa ufaulu wako
Hamna kitu kama hicho,bado mnazidi kuonyesha ubovu wenu kinacho angaliwa sio GPA bali ni uwezo wa mtu husika na mahali husika
 
UDSM inaweza kuwa nzuri lakini watu wanakuwa na mtazamo hasi juu ya taasisi hii kutokana na matendo na kauli za baadhi ya viongozi na wanasiasa waliosoma pale. mfano: Mizengo Pinda ni graduate wa sheria kutoka UDSM lakini kauli zake zinashangaza!
 
nakuunga mkono.. Fatou bouda mwendesha mashtaka mkuu wa icj kasoma chuo ambacho hakipo hata katika top 100 za vyuo duniani nw ndo chief prosecutor wa icj. Maisha sio ulisoma wapi maisha ni elimu uliyonayo imekupa mafanikio gani. Mwingne kamaliza ud na pass yake yuko mtaan hana kaz mwenzake wa chuo kingne yuko bot ana deliver afu bado kelele nyiiingi "nimesoma ud" sasa una nini ndugu? Mimi nlisoma ud lakini naona hawa wanao jitamba na uvyuo ni wanafunzi na hawajayaona maisha nje ya chuo less experienced home feeding with blind ambitions babies. Sisi tuliosoma ud tukipiga kelele na wale wa harvard na oxford wafanyeje? Tuache ushamba wa form two c

mtaani hali ni tofauti sana.
Yaani watu badala ya kujadili vitu vya maana tunabaki kuongelea ubora wa vyuo tu ambao sio kazi yetu kujua.

Leo hii udsm ni rank no 6 kwenye vyuo vya africa na chuo cha kwanza ni uct ila vyote 5 vya juu ni vya sa so hata hapo udsm kiko juu.

Lkn jee wataka kuniambia hiki chuo udsm hakina graduate wako kitaa pasi kazi?? Na je hakina ambao wako kwenye kazi nzuri na wanadeliver vzr??
 
Prof. Max Muya wa Political Science na Dr. Bruce bado wapo? UDSM was the best & i have no doubt it still.
 
Back
Top Bottom