Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

kuna tetesi kwamba kuanzia mwaka huu wa masomo ada za MA pale UDSM zitapanda mara mbili. c mchezo maisha yanapanda knyamaaaaaaaaaaaaaaaaa. ada ya MA ya Education itakuwa sh, Milion 6.
 
kuna tetesi kwamba kuanzia mwaka huu wa masomo ada za MA pale UDSM zitapanda mara mbili. c mchezo maisha yanapanda knyamaaaaaaaaaaaaaaaaa. ada ya MA ya Education itakuwa sh, Milion 6.
 

Kumbe unajua kabisa chuo kinazalisha vilaza. Naona umewai mapema kutoa hoja na kuthibitisha kuwa wewe ni mmoja wapo ya VILAZA. Umeshindwa ata kufanya editing mpaka sasa ??? Upo UDSM ww au ndo unasubiri majibu ya TCU. ?? Kwa sababu umeandika kama mtoto wa darasa la kwanza St kayumba.
 

OK. Maelezo yako yanajitosheleza, Ila nilitaka kukumdogo ajibu swali no. 1,2, na 3 lakini naona kama ameingia mitini. Maana wanaomaliza hapa Udsm na kutoka na 'gentle man GPA' ndio huwa na kelele nyingi sana tofauti na hata wale wa upper 2nd na zaidi ya hapo! Mara zote mtu aliyeelimika anapaswa kuwa mwerevu na mwenye busara.@Mkoroshokigoli
 
hii kozi alinifundisha hayati Prof Haroub Othuman,kwa bahat mbaya wakati tunajipanga kwa test za course work akafariki
>Governance,Civili Society and development
Mungu amrehemu Prof Haroub, ngwale mzuri sana ila kama kawaida yao waalimu wa pale sifa nyingi as if wanafanya matangazo.
 

Kaka sijakimbia mimi nipo sema maswali yako yanajibika kirahisi sana!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…