Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikuwa na lecturer mmoja
miaka hiyo ya nyuma akiitwa dr. Ngwale alikuwa akifundisha DS bado
yupo?
Kumekuwa na Taarifa kuwa UDSM kinazalisha vilaza. Napenda kuwahasa wananchi waendelee kusoma pale maana ndio chuo pekee kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania. Matatizo ni machacha sana kwenye kitengo cha uchumi, kitengo hiki hakina walimu ndio maana wanaomaliza uchumi pale bila kupata elimu ya ziada nje ya nchi unakuwa useless katika taifa. Walimu wote wa uchumi wa UDSM ndio hovyo paka kupelekea wahitimu kutotoa mchango wowote katika nchi hii! Hivyo naomba mjue vitengo vingine viko sawa kabisa ila kitengo cha uchumi ni chakukiangaliza zaidi ikiwezekana kifutwe ili chuo kisiendelee kuchafuka.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
kwenye red ni kwamba SUA IMETOKANA NA UDSM MAANA ILIKUA INAITWA FACULTY OF AGRICULTURE KABLA YA KUJA KUITWA CHUO KIKUU CHA KILIMO,TUJE ARDHI YENYEWE ILIKUA NI COLLEGE TU YA UDSM,NA ILIKUA INAITWA UCLAS(KAMA SIJAKOSEA),MUHIMBILI NI TAWI LA UDSM,MWANZO ILIKUA NI FAKATI OF MEDISINI,SASA KWA MCHANGANUO HUO NDO MAANA ANASEMA HIVYO VYUO NI MAZALIA YA UDSM aka the hill,akak nyerere campus
Mungu amrehemu Prof Haroub, ngwale mzuri sana ila kama kawaida yao waalimu wa pale sifa nyingi as if wanafanya matangazo.hii kozi alinifundisha hayati Prof Haroub Othuman,kwa bahat mbaya wakati tunajipanga kwa test za course work akafariki
>Governance,Civili Society and development
OK. Maelezo yako yanajitosheleza, Ila nilitaka kukumdogo ajibu swali no. 1,2, na 3 lakini naona kama ameingia mitini. Maana wanaomaliza hapa Udsm na kutoka na 'gentle man GPA' ndio huwa na kelele nyingi sana tofauti na hata wale wa upper 2nd na zaidi ya hapo! Mara zote mtu aliyeelimika anapaswa kuwa mwerevu na mwenye busara.@Mkoroshokigoli