Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

Kaka kumbuka vyuo karibia vyote vimetokana na UDSM mfano sua, muhimbili, ardhi na vingine! Ndio maana nikasema kitengo kimoja ndio kiboreshwe kwasababu kweli hatuna wachumi! Ila kutokana na coz niliyosoma na mafanikio niliyonayo na mchango katika taifa nimkubwa kuliko ukoo wenu ulivyowai kuchangia.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

1.Kwenye Red, 'How'?

2.Kwenye ''Blue what do you mean''?

3. Are you Alumnus of which year?

@
kukumdogo

Nakipenda sn hiki chuo kwanz wanafunzi wake wanajitambua ndio waliopigania wanafunz kutoka vyuo vingne kuongezewa means test ya mkopo kwa kila mwanafunz japo kuna wanafunz mpaka leo wanabuzana mahakaman na serikali na hv sasa kinashka nafasi ya sita ktk vyuo bora africa ndo kabisa unatoka na GPA tatu lkn elimu ulovuna ni ya kila nyanza bora

kwa mpangilio wa lugha na sentensi bila shaka umevuna upumbavu kutoka kila nyanja.
 
Unaposema ndio chuo kinachotoa elimu bora kuliko vyuo vyote nchini wakati wewe mwenyewe maandishi uloandika umekosea kosea kama kidato cha nne walioongezewa alama, unataka tukuamini? Eti elimu bora kwa' pass mark' yenu ya 41??? Na wanaotoka vyuo vinavyohesavu ufaulu mwisho ni 50 wasemeje? Kielimu hampo vizur labda jina tu ndo kubwa ndugu yangu
 
We ungekuwa UD hata 20 usingepata. We 40 ya UD unafanya mchezo!!, hiyo ni equivalent na 60 ya huko unakofikiria wewe.
 
Kumekuwa na Taarifa kuwa UDSM kinazalisha vilaza. Napenda kuwahasa wananchi waendelee kusoma pale maana ndio chuo pekee kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania. Matatizo ni machacha sana kwenye kitengo cha uchumi, kitengo hiki hakina walimu ndio maana wanaomaliza uchumi pale bila kupata elimu ya ziada nje ya nchi unakuwa useless katika taifa. Walimu wote wa uchumi wa UDSM ndio hovyo paka kupelekea wahitimu kutotoa mchango wowote katika nchi hii! Hivyo naomba mjue vitengo vingine viko sawa kabisa ila kitengo cha uchumi ni chakukiangaliza zaidi ikiwezekana kifutwe ili chuo kisiendelee kuchafuka.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Sina uhakika sana juu ya hili nimesoma hapo Statistics na nilikuwa naopt core course zote za Economics kulikuwa na walimu wa kutosha na wazuri tu sijui, tatizo lilokuwepo Walimu wake baadhi walikuwa wanakaza sana Mfano Dr. karamagi kwenye Intermediate Microeconomics na Dr. Razak Lokina kwenye Econometrics but all in all hao ni walimu wazuri sana kwa mtu anayejituma ukilegea lazima wakulambe kichwa.

Kulikuwa na Maprof na Doctors wazuri wengi tu waliopiga shule zao Havard, Oxford na vyuo vikubwa tu duniani, Prof. Mbelle, Prof. Moshi, Rwegasira, Osoro, Dr. Haji Semboja, Mkenda, Kidane, Msambichaka, Mashindano na wengine wengi tu sasa labda utuhakikishie kuwa wote hao hawapo? Au unaongea jambo usilolijua.

Tatizo kubwa la kizazi cha sasa ni kupenda kuandikiwa notes kama form one. Chuo kikuu si Shule ya Msingi au Secondary lazima ujitume kusoma we mwenyewe kama Unafundishwa na Walimu toka Havard na Oxford bado unasema hawafai ni walimu toka chuo kipi wanafaa? Hivi ni chuo gani ndani ya tanzania hii ambacho kina walimu ambao hawakusoma wala kufundisha UDSM?
 
BY 2011 Hawa walikuwepo leo wote hawapo?

DEPARTMENT OF ECONOMICS-UDSM
Senior Lecturer/Head
A.F. Mkenda, B.A. (Econ.), (Dar), M.A. (Econ.), Dar, Ph.D. (Econ.), (Gothenburg)

Professors
A.W. Kidane, B.A. (Econ.) (Haile Selassie), Cert. Survey Sampling Michigan, Cert.Demography (Princeton), M.A. (Mathematical Statistics) (Mexico), Ph.D.(Econ.), (Pennsylvania)

L. Msambichaka, B.Sc.(Agric.Econ.),M.Sc. (Agric.Econ.), Ph.D. (Agric.Econ.), (Leipzig)

Associate Professors
D. Rwegasira, B.A. (Econ. & Statistics) (East Africa), Ph.D. (Econ) (Harvard)
F. Mtatifikolo, B.A. (Econ.), M.A. (Econ.) (Dar), Ph.D. (Econ.), (Kansas)
N. E. Osoro, B.A. (Econ.), (Dar), M.A. (Econ), Ph.D. (Econ.), Illinois, MS (Econ.), (Illinois)
A.V.Y. Mbelle, B.A. (Econ), MA (Econ) (Dar), Ph.D. (Econ) (Gothenburg)
R. Mabele, BA (Hons), (East Africa), M.Sc. Agric.Econ.),(Tennessee), Ph.D. (Econ.), (Dar)
H. Moshi, B.A. (Mgt. and Admin.), M.A. (Finance), Dar, Ph.D. (Dr.rer.Pol), Munster (FRG)
*K. Kulindwa, B.A. (Econ.) (Hons), (Dar), M.A. (Econ.), Columbia, Ph.D. (Econ.), (Dar)
***G. D. Mjema, B.A. (Econ.), M.A. (Econ), Ph.D. (Econ.), (Dar)

Senior Lecturers
M.O. Ndanshau, Dip. in Business Admin. (CBE), B.A. (Econ.), M.A. (Econ.), Ph.D. (Econ.) (Dar)
A. Kilindo, B.A. (Econ.) (Dar), Certificate in New Institutional Economics,(Connecticut), M.A.(Econ.), Ph.D. (Econ.), (Dar)
***S.B. Likwelile, B.A. (Econ.), M.A. (Econ.), Ph.D. (Econ) (Dar)
N. Mwamba, B.A. (Econ.), M.A. (Econ.) (Dar), Ph.D. (Econ.) (Nottingham)
T.S. Nyoni, B.A. (Econ.), M.A. (Econ.), Ph.D. (Econ.) (Dar)

*J. Shitundu, B.A. (Econ.), M.A. (Econ.), Ph.D. (Econ.) (Dar)
L. Rutasitara, B.A. (Hons) (Econ.), M.A. (Econ.), Ph.D. (Econ.), (Dar)
***H.H. Mwinyimvua, B.A. (Econ.), M.A. (Econ), Ph.D. (Econ.), (Dar)
H.H. Semboja, B.A. (Educ.) (Dar), Dip. in International Politics (Buskerud
Folkehogskole), M.Sc./Lic. in Econ.), B.Sc. (Econ.) (Oslo), Ph.D. (Econ.),(Gothenburg)
R.B. Lokina, B.A. (Econ.), M.A. (Econ.) (Dar), Ph.D. (Econ) (Gothenburg)
J.K. Mduma, B.A. (Econ.), M.A. (Econ.), (Dar), Ph.D. (Econ.) (Bonn)
 
Viongozi wengi wa juu hapa nchini wamepita UDSM, na tunaona utendaji wao ulivyo mmbovu kiasi kwamba kuifikisha hii nchi hapa ilipo, na hata unapo wauliza maswali ya msingi hujibu utumbo kama Mwigulu na hata kauli zao ni tata, mfano Rais, anaulizwa why tanganyika ni maskini.. nae anajibu hajui. Waziri mkubwa.. anasema wakikaidi Piga tu.. unaona tu kabisa hicho chuo kinazalisha vimeo.
yessss, mzee hii pia, waziri mkubwa aliulizwa kuhusu kukua kwa uchumi wa nchi wakati watu bado masikini akajibu pumba......(nani atategua hiki kitendawili uchumi unakua but watu bado masini hajui kutofautisha kati ya GDP na per capita income ya watu na zinavyo husiana.... HOVYO SANAAAAA, mnategemea tuamini vipi uhalali wa elimu zao
 
Jamaa aliyeanzisha hii Mada ni Mbishi kinoma!ila kila kitu kina uzuri na ubaya wako inawezekana hayo yanyoelezwa na wadau ni Mapungufu ya UD na mengine ni mazuri yake hivyo ni changamoto tu!Ila yote ni hivi Kinachoangaliwa ni Mhusika mwenyewe yupoje baada ya kumaliza Chuo,Wa UDSM anaweza akawa Ni bora kuliko wa SUA lakini asiwe bora sana zaidi ya wa ARDHI....
 
Mi sio mbishi bana ni mawazo tu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
1.Kwenye Red, 'How'?

2.Kwenye ''Blue what do you mean''?

3. Are you Alumnus of which year?

@
kukumdogo

kwenye red ni kwamba SUA IMETOKANA NA UDSM MAANA ILIKUA INAITWA FACULTY OF AGRICULTURE KABLA YA KUJA KUITWA CHUO KIKUU CHA KILIMO,TUJE ARDHI YENYEWE ILIKUA NI COLLEGE TU YA UDSM,NA ILIKUA INAITWA UCLAS(KAMA SIJAKOSEA),MUHIMBILI NI TAWI LA UDSM,MWANZO ILIKUA NI FAKATI OF MEDISINI,SASA KWA MCHANGANUO HUO NDO MAANA ANASEMA HIVYO VYUO NI MAZALIA YA UDSM aka the hill,akak nyerere campus
 
Kumekuwa na Taarifa kuwa UDSM kinazalisha vilaza. Napenda kuwahasa wananchi waendelee kusoma pale maana ndio chuo pekee kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania. Matatizo ni machacha sana kwenye kitengo cha uchumi, kitengo hiki hakina walimu ndio maana wanaomaliza uchumi pale bila kupata elimu ya ziada nje ya nchi unakuwa useless katika taifa. Walimu wote wa uchumi wa UDSM ndio hovyo paka kupelekea wahitimu kutotoa mchango wowote katika nchi hii! Hivyo naomba mjue vitengo vingine viko sawa kabisa ila kitengo cha uchumi ni chakukiangaliza zaidi ikiwezekana kifutwe ili chuo kisiendelee kuchafuka.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sioni kama umekitetea chuo chako UDSM, sana sana umezidi kukichafua..
 
Jamaa yupo na mada yake ya GOVERNANCE...

hii kozi alinifundisha hayati Prof Haroub Othuman,kwa bahat mbaya wakati tunajipanga kwa test za course work akafariki
>Governance,Civili Society and development
 
Kumekuwa na Taarifa kuwa UDSM kinazalisha vilaza. Napenda kuwahasa wananchi waendelee kusoma pale maana ndio chuo pekee kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania. Matatizo ni machacha sana kwenye kitengo cha uchumi, kitengo hiki hakina walimu ndio maana wanaomaliza uchumi pale bila kupata elimu ya ziada nje ya nchi unakuwa useless katika taifa. Walimu wote wa uchumi wa UDSM ndio hovyo paka kupelekea wahitimu kutotoa mchango wowote katika nchi hii! Hivyo naomba mjue vitengo vingine viko sawa kabisa ila kitengo cha uchumi ni chakukiangaliza zaidi ikiwezekana kifutwe ili chuo kisiendelee kuchafuka.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

This must be a discontinuation case at UDSM. The Department of Economics at UDSM is one of the reputable departments of UDSM. FYI, I did all my three degrees in economics at UDSM and I am a renowned economist both within and outside Tanzania, I feel proud of being part of the Economics Department.
 
I'm happy for you! But please use you're knowledge to bring changes in TZ economy.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Chuo chochote ni kizuri bila kuangalia hata ranking yoyote ila kuna tofauti. Mfano UDSM ni chuo cha zamani na products zake zimeweza kuwa kwenye soko kwa muda mrefu na kutambulikana zaidi ya vingine. Pia inatoa coz zote social sc. sciences, na engineering. Sua imejikita kwenye kilimo zaidi.

Lakini kama vyuo vyote vitakuwa kama UDOM tunaweza kulinganisha.

Pamoja na hayo naona chuo kinaweza kiwajibika kwa products zake. mfano, kuna mtu aliandika kuwa watanzania hatuuziki! Kweli ni elimu yetu ya kukaririshwa kila kitu. Hivyo, mfumo unaotumika chuoni una-impact kwenye final products. Ndo tunaona sijui hao akina Nchemba.

Pamoja na hivyo, kila mtu anaamua jinsi ya kuishi bada ya kumaliza elimu. Jamaa ameamua kuwa kichaa si kazi ya chuo tena
 
Very bright
 
Back
Top Bottom