Napenda kulamba maziwa ya unga

Napenda kulamba maziwa ya unga

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Huu ni udhaifu wangu nimejaribu kuacha nimeshindwa.

Hata nikienda kibaruani nayaficha kwenye begi nikisikia hamu nachukua kwenye kijiko nayaweka kwenye karatasi naenda kuyalamba sehemu nisiyoonekana.

Nayamumunyaa mpaka yanaisha ndio nakuja sehemu ya public.

I am 40+ with children but my struggle to stop this insane ended in vain.

Nisaidieni naachaje kulamba maziwa ya unga ya watoto?
 
Nikajua niko peke yangu. Nimenunua kopo kubwa la NIDO kwa ajili ya kuwekea kwenye chai na kahawa ila cha ajabu nikiwa home kila baada ya nusu saa lazma nilambe.

Hapa kwenyewe natype nikiwa na unga mkononi.
 
Nami
Nikajua niko peke yangu. Nimenunua kopo kubwa la NIDO kwa ajili ya kuwekea kwenye chai na kahawa ila cha ajabu nikiwa home kila baada ya nusu saa lazma nilambe.
Namimi ni hivihivi mkuu inaniudhi Sana hii Tabia ila nashindwa kuacha nahisi Kama ni sign of immaturity
 
Nina
Nido haina adabu. Huna majukumu wewe. Mie nilikua mfuasi wa ubuyu wa zenji, majukumu yalipozidi automatic nikaacha
Nina majukumu mengi Tena makubwa imagine najiandaa kumpaulia nyumba my aunt achilia mbali ndugu na watoto ninaosomesha ila hii tabia ianishinda.
 
Nina
Nina majukumu mengi Tena makubwa imagine najiandaa kumpaulia nyumba my aunt achilia mbali ndugu na watoto ninaosomesha ila hii tabia ianishinda.

Hauko serious, mie had ijumaa natakiwa niwe na 4m! Ntaanzsje kulamba maziwa😆😆🤸!huna ,"majokoom "kijana!
 
Nikajua niko peke yangu. Nimenunua kopo kubwa la NIDO kwa ajili ya kuwekea kwenye chai na kahawa ila cha ajabu nikiwa home kila baada ya nusu saa lazma nilambe.

Hapa kwenyewe natype nikiwa na unga mkononi.
Mimi interval yakulamba ni 3-5 minutes when am alone na 20-30 minutes if am in public.
 
Nina
Nina majukumu mengi Tena makubwa imagine najiandaa kumpaulia nyumba my aunt achilia mbali ndugu na watoto ninaosomesha ila hii tabia ianishinda
Unampaulia nyumba shangazi na unasomesha!
Wewe ni mason pia ni teacher?

Kama yote hayo unayafanya kwa njia ya 'remote', basi hauna majukumu ndiyo maana ni 'mramba'.
 
Unampaulia nyumba shangazi na unasomesha!
Wewe ni mason pia ni teacher?

Kama yote hayo unayafanya kwa njia ya 'remote', basi hauna majukumu ndiyo maana ni 'mramba'.
Mkuu usichukulie serious sana kila kinachopostiwa mtandaoni.
 
superbug,

Uache kwa nini? Wewe lamba kwa kwenda mbele,mbona humu wamo wavuta sigara na ugoro lkn maisha yanaendelea sembuse maziwa!!!!! Khaaaa. Tatizo la Nido ni kugandia pale katikati ya ulimi huwa inapoteza confidence ukiwa unamu address mtu. MIMI HUNIAMBII KITU KWENYE SERELAC.
 
Ila ni matamu sana aisee. Zamani nilikua natumia Nido huku mkoani niliko kuna maziwa fulani toka kwa waarabu bei chee yanaitwa al mudhish ni matamu kweli. Sio jambo baya broo endelea kulamba!
 
Back
Top Bottom