Napenda kulamba maziwa ya unga

Napenda kulamba maziwa ya unga

Kama unajali afya yako chukia kabisa kutumia maziwa ya unga!

Usinunue kabisa!

Tafuta maziwa flesh nunua hata Bill kila mwezi .

Maziwa ya unga mengi siyo maziwa hasa wanaweka fleva tu Ndiyo maana werevu hawathubutu kuyanywa.

Bora anayetumia mchaichai na mdalasini

Kuna watu wamepata wanaumwa sababu ya matumizi ya maziwa ya unga!

Kwanza yanawekwa sukari za viwandani

Yachukie uwe salama
 
Kama unajali afya yako chukia kabisa kutumia maziwa ya unga!

Usinunue kabisa!

Tafuta maziwa flesh nunua hata Bill kila mwezi .

Maziwa ya unga mengi siyo maziwa hasa wanaweka fleva tu Ndiyo maana werevu hawathubutu kuyanywa.

Bora anayetumia mchaichai na mdaladini

Kuna watu wamepata wanaumwa sababu ya matumizi ya maziwa ya unga!

Kwanza yanawekwa sukari za viwandani

Yachukie uwe salama
Hakika naungana na wewe content zimejionesha vyema out of that si bora kwa matumizi .
 
Nasoma huu uzi huku mate yamenijaa mdomoni
Huu ni udhaifu wangu nimejaribu kuacha nimeshindwa.

Hata nikienda kibaruani nayaficha kwenye begi nikisikia hamu nachukua kwenye kijiko nayaweka kwenye karatasi naenda kuyalamba sehemu nisiyoonekana.

Nayamumunyaa mpaka yanaisha ndio nakuja sehemu ya public.

I am 40+ with children but my struggle to stop this insane ended in vain.

Nisaidieni naachaje kulamba maziwa ya unga ya watoto?
 
Tafuta pia CERELAC, utakuja hapa kunishukuru
 
as long as huvunji sheria za nchi..wewe lamba tu mkuu
 
Back
Top Bottom