Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hakika naungana na wewe content zimejionesha vyema out of that si bora kwa matumizi .Kama unajali afya yako chukia kabisa kutumia maziwa ya unga!
Usinunue kabisa!
Tafuta maziwa flesh nunua hata Bill kila mwezi .
Maziwa ya unga mengi siyo maziwa hasa wanaweka fleva tu Ndiyo maana werevu hawathubutu kuyanywa.
Bora anayetumia mchaichai na mdaladini
Kuna watu wamepata wanaumwa sababu ya matumizi ya maziwa ya unga!
Kwanza yanawekwa sukari za viwandani
Yachukie uwe salama
Huu ni udhaifu wangu nimejaribu kuacha nimeshindwa.
Hata nikienda kibaruani nayaficha kwenye begi nikisikia hamu nachukua kwenye kijiko nayaweka kwenye karatasi naenda kuyalamba sehemu nisiyoonekana.
Nayamumunyaa mpaka yanaisha ndio nakuja sehemu ya public.
I am 40+ with children but my struggle to stop this insane ended in vain.
Nisaidieni naachaje kulamba maziwa ya unga ya watoto?
Tafuta pia CERELAC, utakuja hapa kunishukuruHuu ni udhaifu wangu nimejaribu kuacha nimeshindwa.
Hata nikienda kibaruani nayaficha kwenye begi nikisikia hamu nachukua kwenye kijiko nayaweka kwenye karatasi naenda kuyalamba sehemu nisiyoonekana.
Nayamumunyaa mpaka yanaisha ndio nakuja sehemu ya public.
I am 40+ with children but my struggle to stop this insane ended in vain.
Nisaidieni naachaje kulamba maziwa ya unga ya watoto?
Wewe ndio unatia chumvi kwenye kidonda. Unataka kumuangamiza kabisa huyu mleta mada? 😁Tafuta pia CERELAC, utakuja hapa kunishukuru
Ha haaa hiyo kitu ni nomaWewe ndio unatia chumvi kwenye kidonda. Unataka kumuangamiza kabisa huyu mleta mada? [emoji16]