makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Waswahili walisema mkataa pema, pabaya panamuita.Afu wewe ka Makavelli ni kaongo, una huo ubavu wa kumuonyesha mke conversation yako na watu wengine aah. Ukidundwa shauri yako na usinitaje😀
Mie na wife mbona ni washikaji wazuri tu, tunapiga stori, analeta umbea wake, wakimtongoza ananiambia.. Kishikaji tu.
Na ndio maana alipoona uzi wako jimbo liko wazi akaniambia niombe KURA, pesa za kampeni atachangia, katika members wa Jf we ndio anakupenda zaidi 😂