Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

Afu wewe ka Makavelli ni kaongo, una huo ubavu wa kumuonyesha mke conversation yako na watu wengine aah. Ukidundwa shauri yako na usinitaje😀
Waswahili walisema mkataa pema, pabaya panamuita.

Mie na wife mbona ni washikaji wazuri tu, tunapiga stori, analeta umbea wake, wakimtongoza ananiambia.. Kishikaji tu.

Na ndio maana alipoona uzi wako jimbo liko wazi akaniambia niombe KURA, pesa za kampeni atachangia, katika members wa Jf we ndio anakupenda zaidi 😂
 
Mwambie namheshimu kama wifi, jimbo langu liacheni wazi hivi hivi sitaki😀😀
 
Ahsante sana mkuu kwa kunitakia heri mimi pamoja na wengine wote wanaopitia situation kama yangu.nakosa hata cha kusema zaidi lakini tunamshukuru Mungu kwa
Tulio wengi tuna mapito ya mambo mengi so usiwaze.Ugumu ni mkubwa sana siku hizi katika mambo tofauti tofauti so be strong songa mbele.Maisha ni kusonga na kusonga mbele haijalishi vikwazo gani vinakujia.
 
Dear Carleen,
Thank you for your advice, i real appreciate 🙏 and am trying so hard to not be desperate, somehow I do manage ila kuna muda inanifikirisha sana, hasa nikifikiria uzazi(complications itakuwaje?).

But nashukuru sana, kwa kunipa maneno ya faraja, stay blessed 🙏
Mamaqe,
nothing will ever stand on your way, NEVER..!
you need to change that negative attitude tafadhali, which complications..? Na kwanini hizo complications unaamini zitakupata wewe..? Wangapi wamepata watoto at their 30's huku wao na watoto wao wapo salama kabisa..??

everything starts with your MINDSET, you really need to change that Girlie, na kubwa zaidi najua una Imani Kuu kwa Mungu wetu aliye mbinguni muumba wa mbingu na nchi sivyo..?? Kama unamuamini hebu tafadhali sana ishi kama mwanamke mwenye Mungu ndani yake, kamwe 'USIOGOPE'..!
 
Mimi Nina miaka 31 Sina mke Sina kazi maharumu Sina godoro Sina kiwanja Sina mpenzi Sina mkoa maharumu ninao ishi Baba Amenikataa tokea nipo tumboni. Nina mtoto wakike wa miaka 4 Ila mama yake tuliachana. NAISHI KWA FURAHA SANA KWA SASA NIPO MBAGARA BAA YA 2POINT NAKUNYWA BIA. mwambie aache ujinga Raha ajipe mwenyewe asingoje kipew
Kwa muandiko huu asee
 
Mamaqe,
nothing will ever stand on your way, NEVER..!
you need to change that negative attitude tafadhali, which complications..? Na kwanini hizo complications unaamini zitakupata wewe..? Wangapi wamepata watoto at their 30's huku wao na watoto wao wapo salama kabisa..??

everything starts with your MINDSET, you really need to change that Girlie, na kubwa zaidi najua una Imani Kuu kwa Mungu wetu aliye mbinguni muumba wa mbingu na nchi sivyo..?? Kama unamuamini hebu tafadhali sana ishi kama mwanamke mwenye Mungu ndani yake, kamwe 'USIOGOPE'..!
Ahsante sana Carleen, ngoja nibadili mtizamo ila kiukweli nakua nahofu sometimes , but ntajitahidi
 
Back
Top Bottom