Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
 
Kiapo cha askari Polisi ni utii kwa Mamlaka iliyopo na itakayokuwepo. Pia kutii amri zitolewazo mara kwa mara. Hayo ya mshahara hayahusiani na kiapo.
 
Back
Top Bottom