Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Unajua CCM hawajui siasa ndomana unaona wanatumia nguvu kubwa Sana kuwazibiti wapinzani.,,Siku Vyombo vya usalama vikiacha kuisaidia CCM basi ndio mwisho wao
Vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa CCM ndani ya sekunde Chache CCM kwisha 🤣
 
Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Wala hawalipwi hela nyingi. Sema wamekuwa brainwashed kwamba wao nisehemu ya dola
 
Hata wao wanalalamika! Wanadhani huenda ni kazi ya laana!
Lakini binafsi nawapongeza kwa sababu sina hakika kama kuna Jeshi la Polisi duniani ambalo lina viwango vya juu vya utii kwa serikali yao zaidi ya hawa wa kwetu!
 

Attachments

  • YouCut_20240812_163320009.mp4
    95.7 MB
  • Wengi wa kazi za Mrakibu wa polisi na makachero hupata mshahara kati ya TSh 401,555 na TSh 3,789,627 kwa kila mwezi mwaka 2024.

  • Mshahara wa kila mwezi wa ngazi ya kuanza kazi za Mrakibu wa polisi na makachero ni kati ya TSh 401,555 hadi TSh 1,029,003.

  • Baada ya kupata uzoefu wa kazi wa miaka 5, mapato yao yatakuwa kati ya TSh 605,945 na TSh 1,759,453 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom