Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Ukumbuke pia Polisi sio waajiriwa, unakuja kuajiriwa ukishafika rank flani, ndio maana hata RPC ana uwezo wa kukufuta kazi (polisi wanafutwa kazi hawakufuzwi), hapo itakupa mwanga wa bei gani wanalipwa
 
Ukumbuke pia Polisi sio waajiriwa, unakuja kuajiriwa ukishafika rank flani, ndio maana hata RPC ana uwezo wa kukufuta kazi (polisi wanafutwa kazi hawakufuzwi), hapo itakupa mwanga wa bei gani wanalipwa
Sio polisi pekeee ata jwtz kama huna cheo unakuwa na mkataba ukifika mda flan unajaza mkataba kuajiriwa anaajirwa afsa mwenye nyota moja up kwendeleea ambaye kumfukuza kazi ni ngumu zaidi atashushwa vyeo tu
 
Ukipata fursa ya kuingia jeshi la polisi usiipoteze. Watu wanadanganyana sana mshahara + allowance ya police constable ni zaidi ya mwalimu mwenye degree.

Ubaya ni kwamba mshahara hauongezeki mpk upande cheo.

Huko wanamalindo yenye kulipwa, wana operations wanalipwa, na allowance nyingine nyingiii

Kila mwaka wapinzani wanatumia ishu ya mshahara wa polisi kama sera yao lkn huwaoni polisi wenyewe kulalamika.
 
Kiapo cha askari Polisi ni utii kwa Mamlaka iliyopo na itakayokuwepo. Pia kutii amri zitolewazo mara kwa mara. Hayo ya mshahara hayahusiani na kiapo.
Mada haihusu kiapo, inahusu mshahara wanaolipwa kiasi kuwa na hamasa kubwa hivyo ktk kuilinda ccm.
 
Polisi bila kuchukua rushwa,kucheza faulo
Huwezi ishi

Ova
 
Hivi IGP inabidi elimu iwepo au uzoefu tu
Huwezi kuwa IGP bila kuwa na digrii hata moja,kila mwenye vyeo vya juu(vinavyovaliwa juu ya bega) lazima awe na elimu kuanzia digrii moja aidha wapo Police wanavyeo vya kawaida(koplo,sajenti..) wana digrii zao.
 
Wanipwa pesa nyingi sana Alafu kila siku ukienda job hukosi Kilo mmoja mpka mbili ya kwenda kunywa ulabu
 
Back
Top Bottom