Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Police hawalipwi kulingana na elimu Bali cheo. Kila cheo kina mshahara wake ingawa elimu ina posho yake inakuwa inclusive. Kwahiyo ukitaja cheo ndipo utasaidiwa kuambiwa mshahara wake.
Maaskari na maafisa wa home affairs mishahara yao kiduchu sana.
 
Kama ni ivyo tusingekua tunakula nao wali maharage wa 1500/-kwa mama Kdija kila siku
Kula mtu anakula anachotaka familia zetu za kimasikini kwenye familia labda yeye ndio katoboa ana wadogo zake wapo shule kuna watoto wake wapo shule wote wanamtegemea yeye bado unataka akale selina hotel mchana kwa faida ya nani? Tz mtu mwenye pesa ni mfanyabiashara tu
 
Kila siku wanagongea tuwanunulie bia huku kitaa. Kifupi wananjaaa sana lakini walivyo serious kukamata wapinzani utafikiri wao hawana shida
 
Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Buku jero
 
Back
Top Bottom