Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Mili
Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Milioni 159 kwa mwezi kwa afande anayeanza kazi
 
Huwa nasikia mwenye shahada milioni mbili na akistaafu analipwa milioni miasita(600000000)hapo nje ya marupurupu.Ndiyo maana wanajituma kuwakamata wapin zani.
Hapo sawa ndo maana wanamioyo migumu sana wamevaa miwani za mbao hawaoni hata ukweli
 
Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Wale wa juu sana ndio wanalipwa vizuri......hawa ndio watoa order.
 
Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Nafikiri hata wenyewe hawajui,tafuta mmoja wa barabarani muulize kama analo jibu.
 
Police wana mishahara tofauti kutokana na vyeo au elimu na mshahara unapanda ukipanda cheo. Mfano askari hata kama hana cheo akiwa na elimu ya afya diploma anakua na mshahara mkubwa tu.

Ni kweli inawezekana police wanamshahara mdogo lkn wana allowance ambazo ni almost laki nne (400,000 posho + package ) kila mwezi.
Wenye elimu wana technically allowance pia na posho zingine nyingi.. lkn pia kuna malindo wanalipwa

Usidharau polisi wanapesa nzuri tu ... Ila ukizingatia tu salary slip utaona ndogo
 
  • Wengi wa kazi za Mrakibu wa polisi na makachero hupata mshahara kati ya TSh 401,555 na TSh 3,789,627 kwa kila mwezi mwaka 2024.

  • Mshahara wa kila mwezi wa ngazi ya kuanza kazi za Mrakibu wa polisi na makachero ni kati ya TSh 401,555 hadi TSh 1,029,003.

  • Baada ya kupata uzoefu wa kazi wa miaka 5, mapato yao yatakuwa kati ya TSh 605,945 na TSh 1,759,453 kwa mwezi.
Mbna uja add na hela ya elimu, homemaintaness, women allowence, marriage
 
Back
Top Bottom