Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Yule ambae hana mbavu begani analipwa milioni ngapi? Yaani yule shati tupu kabisaViwango vimepishana kutokana na ELIMU.
Kuna Reshen katikati ya mwezi. Sasa mshahara utakuwaje mdogo.Polisi wanaonekana wana mishahara midogo sana! Na hii ni kutokana na maisha wanayoishi huku mtaani. Nadhani rushwa ndiyo inawaboost.
Kiapo cha askari Polisi ni utii kwa Mamlaka iliyopo na itakayokuwepo. Pia kutii amri zitolewazo mara kwa mara. Hayo ya mshahara hayahusiani na kiapo.Wasalaam
Kwa jinsi police wanavyojituma kukamata viongozi wa upinzani na kuwafungulia kesi mbalimbali ni dhahiri wanalipwa pesa nyingi sana na serikali ya ccm. Naomba kwa mwenye kujua anijuze hawa wana usalama wa ccm wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Nisingekuwa nashinda hapa kupiga story na masikini wa hili jukwaaHuwa nasikia mwenye shahada milioni mbili na akistaafu analipwa milioni miasita(600000000)hapo nje ya marupurupu
Niliwahi kushuhudia ya mmoja wao ilikuwa ina take home ya 357,000!! π©Yule ambae hana mbavu begani analipwa milioni ngapi? Yaani yule shati tupu kabisa
Comrade, polisi wetu wananuka njaa. Usiwe mbishi. Sijajua huko kwenu. Ila huku Burundi nilipo, aisee ni rushwa tu ndiyo inawabeba.Kuna Reshen katikati ya mwezi. Sasa mshahara utakuwaje mdogo.
π π π π π π Afande kumanishaa alichosema jamaa n uongo uliotukukaa??Nisingekuwa nashinda hapa kupiga story na masikini wa hili jukwaa
Tema mate chiniHuwa nasikia mwenye shahada milioni mbili na akistaafu analipwa milioni miasita(600000000)hapo nje ya marupurupu.Ndiyo maana wanajituma kuwakamata wapin zani.
Sweetheart...s tulikubaliana kuwa JF hamna Masikini wote n matajiri...Nisingekuwa nashinda hapa kupiga story na masikini wa hili jukwaa
Shida tupu alafu niko oves please niache kwasasaπ π π π π π Afande kumanishaa alichosema jamaa n uongo uliotukukaa??
Ukwel n upi afande maskini mwenzetuu..