0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Siwez kuchukua nguo bila kujaribu,lazima niivae nijicheck kwenye kioo,Nipo chuga nipe oda ya sarawili hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwez kuchukua nguo bila kujaribu,lazima niivae nijicheck kwenye kioo,Nipo chuga nipe oda ya sarawili hizo
Dizaining inakufelisha. Japo ni kawaida kuichoka nguo uliyoivaa mda mrefu.Mimi ni ke mwenye umri wa miaka 25 ,ni mrefu wastani,maji ya kunde/chocolate colour mwembamba wastani ,napenda kuvaa jamani,lakini nikinunua nguo nikianza tu kuivaa sikawii kuichoka,nguo zangu ni za mtumba najua nikienda mtumbani na elfu 50 narudi na nguo nyingi kwa sh 4000_6000 lakini dukani narudi na magauni mawili tu ya sh 25000,je wewe mwanamke mwenzangu au ata mwanaume maana kuna wanaume wako vizuri kwenye fashion wanaweza nishauri pia, je unapenda kununua nguo dukani/mtumbani na vipi utaratibu wako wa kununua nguo upoje? Nguo gani unapenda ziwe nyingi zaidi kati ya skirt,t shirt,na suruali? Wewe unapendelea kuvaa rangi gani zaidi kwaajili ya kupendeza na kuwavutia wengine,na unanunua nguo baada ya mda gani? Karibuni kucomment nipo kusoma comment zenu wapendwa wa jf......
Sa huyu km ni mkeo si ni kichomi cha kujitakia? Yani miaka 25 bado anahaingaika na nguo![emoji1][emoji1][emoji1]Ombeni sana vijana kabla hamjaoa
Wanaachaga kuvaa wakifika miaka mingapi?Sa huyu km ni mkeo si ni kichomi cha kujitakia? Yani miaka 25 bado anahaingaika na nguo![emoji1][emoji1][emoji1]
Heloenjoo pm
Izo za karume ni mtumba auUtakuja tu kuacha
Nguo nyingi Za chini Za Mtumba ukishafika nyumbani inapoteza thamani
Unajikuta unajaza matakataka kabatini
Tenga bajeti Nenda Karume Jumanne/Ijumaa asubuhi wanafungua nguo nzuri
Unapoint , Kama Gauni ni kuanzia 10,000-25,000 inategemea na Quality
Za Dukani nanunua wale wanaleta Chamboo,
Pia naagiza SA Gauni zangu Za kupendezea
Nguo chache unazoweza kuvaa, siyo unatoka unashusha kabati zima huoni cha kuvaa