Napenda mwanamke akiwa na Handbag nzuri!

Dah tunatofautiana vipaumbele asee, Mimi awe na handbag nzuri au mbaya hata sijali, Ila tu awe na chura ya wastani. hata kama awe kama mmasaid wallaah!!!
 
Me naona kabiashara hii. Ungesema na bei zake.

Kuhusu kupenda kwangu no matter kabeba nini au pengine chochote. Kubwa anivutie tu maana mwisho wa siku wote wataomba hela. Kwa hyo wallet zinahusika sana tu hayo mengine ni mbwembwe.
 
Huwa inawasaidia sana kubebea MAKINIKIA...

Tatizo baadhi huwa wavivu, hawachelewi kumpa Mwanaume aubebe...!!
Nawaachaga nyuma ama watangulie hatua kadhaa...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Huwa unamnunulia au unapenda tu kumuona na handbag nzuri
 
DUH--una maanisha handbag hizi hizi ninazozijua mimi au umetumia tafsida mkuu

anyway hata mimi napenda pia
 
Nawapenda sana wadada wanapokuwa na mikoba inayonivutia machoni. Mfano picha hii chini niliipata sehemu kitambo tu, mbali na show ya jiko lakini mkoba ndio ulionivutia hasa, nikaamua niihifadhi hadi leo ninayo:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…