Benitez Hadramu
Member
- Jan 11, 2020
- 13
- 4
Ndugu wapendwa poleni sana katika harakati za hapa na pale za siku ya leo.
Napenda kufahamu watu wa mkoa wa katavi humu kama wamo ili tujuane maana nilikuwa napendekeza nijue ratiba ya minada ya huko Katavi.
Na kingine ningependa kupata mtu mzoefu na mpambanaji na mwenye kiu ya utafutani au kiu ya kujikwamua na katika kiuchumi.
Nataka mtu wa kuanza nae biashara ya viatu vya mitumba vya kiume mkoani Katavi mwenye mtaji kama wangu ili tuunganishe pamoja na kupiga kazi za minadani huko mkoani Katavi.
Kiwango cha mtaji kiwe ni kiasi cha laki 4 kwa vile ndo mwanzo wa biashara hiyo.
Atakaukuwa freshi anicheki Whatsapp kwa namba 0653095551 ila kwa watu wa mkoa wa Katavi tu. Ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app