Napenda nijue ratiba ya minada ya huko Katavi

Joined
Jan 11, 2020
Posts
13
Reaction score
4
Ndugu wapendwa poleni sana katika harakati za hapa na pale za siku ya leo.

Napenda kufahamu watu wa mkoa wa katavi humu kama wamo ili tujuane maana nilikuwa napendekeza nijue ratiba ya minada ya huko Katavi.

Na kingine ningependa kupata mtu mzoefu na mpambanaji na mwenye kiu ya utafutani au kiu ya kujikwamua na katika kiuchumi.

Nataka mtu wa kuanza nae biashara ya viatu vya mitumba vya kiume mkoani Katavi mwenye mtaji kama wangu ili tuunganishe pamoja na kupiga kazi za minadani huko mkoani Katavi.

Kiwango cha mtaji kiwe ni kiasi cha laki 4 kwa vile ndo mwanzo wa biashara hiyo.
Atakaukuwa freshi anicheki Whatsapp kwa namba 0653095551 ila kwa watu wa mkoa wa Katavi tu. Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwepo mtu wa katavi ana mtaji zaidi ya huo wa kwako na pia yuko tayari kuunganisha mtaji wake na wako ili mjikwamue kiuchumi je uko tayari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko tayari cha msingi tu kuwa na umoja pamoja na uaminifu ktk kazi maana maisha ni kusaidiana maana huenda yeye kuna meng anayajua kuhusiana na biashara iyo uku mm siyajui kwa hiyo maisha ni kuinuana ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Katavi biashara fikiria ianze Mwezi Mei -
DESEMBA ,kipindii nje ya hapo ni mwendo wa KILIMO na Masika usipoteze muda na pesa zako kipindi hicho watu wako bize mashambani labda ukawauzie GUM BOOT, Mbolea, Mbegu nk utatoboa lkn hizo bidhaa zingine subir wavune kwanza.
Masoko mazuri ni MAJIMOTO, ITENKA, SIBWESA na Mpanda Hotel
 
Ahsante kwa ushauli kwa hiyo unamaanisha biashara ya kule ni mwezi wa 5 hadi wa 12 na tofauti na hapo yadi january hadi may ni mwendo wa kilimo tu sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Katavi biashara fikiria ianze Mwezi Mei -
DESEMBA ,kipindii nje ya hapo ni mwendo wa KILIMO na Masika usipoteze muda na pesa zako kipindi hicho watu wako bize mashambani labda ukawauzie GUM BOOT, Mbolea, Mbegu nk utatoboa lkn hizo bidhaa zingine subir wavune kwanza.
Masoko mazuri ni MAJIMOTO, ITENKA, SIBWESA na Mpanda Hotel
Je ushairi wa bidhaa gani ambazo hiwa hot cake kwa eneo hilo zenye mitaji ya kawaida,help pls..through your visions..
 
Bidhaa za Kilimo, bidhaa za Mavazi baada ya mavuno, Vifaa vya Kidijital kama Simu, Memory Card, Flash, Headphone na Redio ndogo ndogo maana Wasukuma washakuwa wengi huko kuliko Wabende na kama ujuavyo Msukuma hakosi redio ndogo mkononi,.
 
Ndugu wapendwa poleni sana katika harakati za hapa na pale za siku ya leo.

Napenda kufahamu watu wa mkoa wa katavi humu kama wamo ili tujuane maana nilikuwa napendekeza nijue ratiba ya minada ya huko Katavi.

Na kingine ningependa kupata mtu mzoefu na mpambanaji na mwenye kiu ya utafutani au kiu ya kujikwamua na katika kiuchumi.

Nataka mtu wa kuanza nae biashara ya viatu vya mitumba vya kiume mkoani Katavi mwenye mtaji kama wangu ili tuunganishe pamoja na kupiga kazi za minadani huko mkoani Katavi.

Kiwango cha mtaji kiwe ni kiasi cha laki 4 kwa vile ndo mwanzo wa biashara hiyo.
Atakaukuwa freshi anicheki Whatsapp kwa namba 0653095551 ila kwa watu wa mkoa wa Katavi tu. Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Minada ya katavi huwaga kila tarehe furan kwa mwezi eneo fulan,
Changamoto zlizopo huko n usafri kutoka kijiji kimoja kwenda kingine hasa vijiji Ambavyo haviko karb na barabara kuu za kuunganisha mikoa. Biashara nzuri n kipnd cha msimu Wa kiangaz utapga pesa uchanganyikiw mwez Wa 5 mwishon - Wa 10.
Kuna sehem za machimboni na kando ya ziwa kama kalema au ikola huko pesa huptkana kulingana na upatkanaj Wa madin na samaki.

USHAURI.
Mi naona biashara ya kutembea minadani inafaa sana sehem ambayo minada/magurio yapo kila sku ya juma, yaan jumatatu upo kijiji hiki j4 kile j5 kile unajikuta hukai kusubir.
Maeneo ya SHINYANGA, MWNZ NA SIMIYU IPO HVYO.
kingine biashara ya partnership lazma muweke utaratb mzur wa kufanya kaz bila ivo n ngum mno.

Wabeja sana!.

Ahsante sana kwa ushauri wako kaka ngoja nitalifanyia kazi hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom