Daaah aiseee anyway vipi huyo shemu ni mwingine tena auhi
mimi jamani napenda pesa sana π’ nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Okay si ulisema huwezi kumove on wewe??hapana yule yule
Binafsi sipendi pesa mkuuOngeza wigo wa kuitafuta na kuizalisha na nidhamu ya kuitumia.
πππkwani kuna anayechukia pesa πππhi
mimi jamani napenda pesa sana π’ nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
πππππitakuwa walikuosha na mmoneymoney ulipokuwa mdgo ππahaahah mimi nimewazidi
Unakopwa kwa mapenzi yapi??hi
mimi jamani napenda pesa sana π’ nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Sasa itakuaje?Maana unapenda pesa hadi ulizokopwa.hi
mimi jamani napenda pesa sana π’ nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Mimi sipendi pesa ila sichukii pesaπππkwani kuna anayechukia pesa πππ
Sasa wewe tukuweke kundi lipi? πππMimi sipendi pesa ila sichukii pesa
Hata pesa za kuhongwa unazipenda?hi