Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
hi
mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hi
mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Wape ushindi man city, liva, celtic, bayern munich na psg weka iyo hela yote uliyonayoaha now hapa nataka nifikishe million so bado kma lak3 hivi kwenye cm
Mpaka mtu akisema anapenda pesa ,kumbe nayo inaweza kuwa chai🤣🤣🤣🤣
Nakunijibu unanijibu kweli eh dunia imetoboka .hapana mbona
Nakushauri usithubutu kumdaihi
Mimi jamani napenda pesa sana 😢 nashindwa jizuia shemeji yenu kanikopa pesa lakini haja lipa nataka nimdai leo
Kuna kitu hakipo sawa naonaKuna id mbili zinafanana hapa 😎😎🙈🙊
Ikiwa ngapi inakuwa imepungua?sipendi kuishiwa pesa ikipungua tu nachanganyikiwa
Afu kuna mmoja alikuwa anamtafuta mwenzake anyway ngoja tuachane naoKuna kitu hakipo sawa naona
Huyu dada atulizane kwahiyo alimkopesha Mme wake sio kwamba alimpa?Mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe njoo uone maajabu huku
Kama unazitafuta kwa jasho lako sawa ila kama unamyoa jasho shemeji hapo kuna maswalihapana yule yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo imeenda hairudi mpenzi hakopeshwi anapewa
Pesa haina ladha wakunyumbaHakuna asiyependaa pesaaa, Pesaa tamuu.
[emoji108][emoji108][emoji108]