Napenda pesa

Njee ya mada, Dah ila binafsi naonaga kuanzisha uzi mtu unatakiwa uwe mahiri sana ,ndio maana ninaweza kuwa nina madini ila nikikumbuka humo kuna watu smart sana naacha kufungua uzi.
Hapana inategemea unafungua jukwaa gani kama kule jf chit chat mbn at least sio unafungua mada kule jf intelligence au great thinker utaambulia povuu tu πŸ˜‚πŸ˜‚

Japo kuna ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…