Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Bora Sigara mara 900 pombe Ina madhara makubwa mwilini.. hususani hizo spirit na ngano

Mangi nipe Embassy packet zima 2 nikajimalize
Pombe na soda kipi hatari zaidi?
 
Siyo ujanja wala Sifa. Acha kunywa Pombe. Alcohol is a Social Trap. Pia jiandae na magonjwa ya Ini, figo, kisukari nk.
Nani kasema gambe ni ujanja? Je wagonjwa wote wa figo, ini na kisukari ni wanywaji?
 
Pombe na soda kipi hatari zaidi?
Nimesema Sigara sio hatari km watu wanavyoisema Ila pombe nimekunywa zaidi ya miaka 15, nimeacha nilikua mkemia mkuu mzee wa mixer na cocktail sasa hivi natembea ubalozini sitaki tena tungi
 
Ukifika stage iyo kaoge maji ya baridi mwili utakaa sawa
 
Siyo ujanja wala Sifa. Acha kunywa Pombe. Alcohol is a Social Trap. Pia jiandae na magonjwa ya Ini, figo, kisukari nk.
Sio kweli pombe haileti hayo magonjwa I was been there, madaktari wenyewe wanatibu huku wana sukumia na kamvinyo pembeni
 
Nimesema Sigara sio hatari km watu wanavyoisema Ila pombe nimekunywa zaidi ya miaka 15, nimeacha nilikua mkemia mkuu mzee wa mixer na cocktail sasa hivi natembea ubalozini sitaki tena tungi
Unatembea ubalozini ukivuta embassy huku ukisema kataa ndoa
 
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine [emoji485] kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.

Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.

Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Ulishapima mapigo yako ya moyo kabla haujatumia kinywaji hiko?

Hata hivyo nimekuheshinu, kumywa konyagi nusu lita nzima kwa kuichanganya na pombe tamu kisha ukaendelea kuwa na kumbu kumbu za kutiririka majasho!

Kwa mtu mwingine hapo ni kuzimika hadi asubuhi kunapokucha ndiyo atajiona alipo.
 
Nani kasema gambe ni ujanja? Je wagonjwa wote wa figo, ini na kisukari ni wanywaji?
Wanoumwa hayo magonjwa hata hawanywi, nijuavyo Mimi na ushuhuda ninao kuna mzee alisimulia yeye alikua mtu wa Safari lager (bia ngumu kwa watu wa kazi ngumu), ilikua inamkubari sana akawa anachapa hata kreti Safi bila kulewa, sasa kuna kipindi wenzie wakamshawishi afanye mixing yaan achanganye na pombe zingine, hapo ndipo alipoenda kutibua mishipa ya moyo alimanusula apatwe na stroke, mpaka leo kunywa bia mwisho ni 1 imezidi 2 hazidishi zaidi ya hapo, aliuua mishipa ya moyo kwa kufanya mixing ya bia tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom