Napenda sana Live Band

Napenda sana Live Band

Kuna jamaa mmoja anaimbaga na jkt oljoro, huyo jamaa ana kipaji hasa, ila tu yupo kwenye wrong place, angepata band ya maana angefika mbali, nawaonaga Arusha raha, kwa tajiri Izacky.
 
Back
Top Bottom