chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Unanukia?Kwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
Umejaribu kuwapa helaKwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
Hapana mkuu situmii deodorantUnanukia?
Tumia body splash. Hayo mambo ya kunukia ki asili hatupendi tena siku hizi. Jipende hatakama wewe ni mwanaume.Hapana mkuu situmii deodorant
Na ukute upo DarHapana mkuu situmii deodorant
mKuuAna hoja asikilizwe...
🤣🤣🤣Na ukute upo Dar
Mnakochomwa jua asbh - jioni
mKAna hoja asikilizwe...
Hela kwa kiasiUmejaribu kuwapa hela
Tafta helaKwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
😄😄 una umri gani?Ndio
mKuu
Sawa sawaTatizo pesa mkuu,
Tafuta pesa watakuja wenyewe hutakuwa na haja ya kutumia muda mwingi kuwashawishi.
Hizo verse toa wimbo utapata hela kisha ndio uanze kufukuzia hao mademu.Kwema ndugu zangu,