Napenda sana mademu ila siwapati

Napenda sana mademu ila siwapati

wanatuchanganya bana mara watuambie ukipaka deoderant haudindi😂
Vitu ni vingi. Dawa ya meno. Dawa ya kuchukuchua mdomoni. Shampoo. Shower gel. Sabuni ya kawaida. Deodorant. Body spray. Perfume. Mafuta ya nywele.

Aisee. Hahahaa ebu tutulie.

Mi nina Vaseline iyo iyo natumia hadi kupiga mswaki na kutumia sheria mkononi
 
Hizi mbayaaaaa
Vikwapa vitakuwa vyeusiiii
Oyaaaa nimeletewa juzi. Niipige chini?

1000111235.jpg
 
Honestly I do recommend & prefer forever living.. elf 20 tu. Tena Dar yaweza kuwa cheap.

Katika watu 100, 70 wanapata weusi baada ya kutumia kwa muda mrefu.
Ngoja niitafute iyo ulioitaja..
 
Back
Top Bottom