Napenda sana mademu ila siwapati

Napenda sana mademu ila siwapati

Ukaacha? Nukia ki nivea bwana, unaonekana gentleman. Yaani tumia lotion ya NIVEA ile ya coconut utanishukuru. Kama ukikosa mpenzi niite mbwa nimekaa pale[emoji117]. Usivae kisharobaro maana NIVEA haiendani na masharobaro
Hawa Nivea jamani ayseee

Nahisi Nina lakujifunza Kila sehemu gentlemen utaskia nivea
 
Tongoza mara moja piga kimya unakumbushia baada ya siku hata 5 kupita siyo kila saa unajilizaliza

Tongoza lakini usijilegeze sana utateseka akikataa fata mambo yako usibembeleze saana hadi akuone huna kazi za kufanya.

Siku akitulia akiona inafaa ataanza mazoea mwenyewe
 
Pamoja
 
Back
Top Bottom