Napenda sana mademu ila siwapati

Napenda sana mademu ila siwapati

Morrocan Argan oil 😘
Yako poa mwilini... usoni sijawahi kuyapakaa
Morrocan na Palmers ipi nzuri? Kwasababu tangu nimeanza kutumia palmers sijamaliza hata week mbili. Ni kitu gani pia cha kutumia usoni jamani hivi vipele sivitaki hata kidogo.
 
Mi pia sijawahi ona kwapa linakua jeusi....labda inategemea ngozi na ngozi
See the difference..
IMG_9172.jpeg
 
Back
Top Bottom